Pre GE2025 Mbunge wa Mbeya mjini Tulia Akson agawa Bima za Afya kwa Wananchi 9000

Pre GE2025 Mbunge wa Mbeya mjini Tulia Akson agawa Bima za Afya kwa Wananchi 9000

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hujui kitu, Sugu alishajisalimisha ccm muda mrefu tu, na hana uwezo wa kupambana na tulia ackson, hata sugu mwenyewe analitambua hilo
Huwa unasoma vizuri au unakurupuka. Soma mstali wangu wa pili. Nimesema wazi Sugu hawezi mshinda Tulia Akson Mbeya mjini. Acha uvivu Soma sentesi uelewe
 
For the people whom are in a position of teaching people and giving them facilities to fish they have opted in giving out small fishes hence feeding people for the day..., while the former would have fed them for eternity....
 
Kipindi cha uchaguzi wa wabunge kikikaribia, wabunge wa CCM Huwa wanakuwa na huruma sana,kwanini?
 
Ah! Uwekezaji, Ametoa 9000 lakini ataumia sana akipata kura 9000, hvyo anataraji 9000×100 =900,000 kura.
 
Back
Top Bottom