Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

Mimi nashangaa mtu ametawala miaka 60 lakini anaogopa aliyetawala miaka 10
 
Bravo Mh Haonga,halafu wajinga wanasema Chadema haipo....jinga kabisa hawa maccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!, kumbe bado ipo angalau hadi October 2020, baada ya hapo, kuendelea kuwepo ni majaliwa!.



P
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , hata kama ibada itaongozwa na Pengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…