Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Hongera sana kamanda Prof J kwa ndoa takatifu
 
Mimi wazazi wangu waliniandalia maisha mazuri kwahiyo sikuchelewa kuoa. Hata marafiki zangu vivyo hivyo.
Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.

Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.

Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.

Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.

Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.

Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.
 
Back
Top Bottom