'Mbunge wa Mikumi Profesa J, Leo July 8 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace

'Mbunge wa Mikumi Profesa J, Leo July 8 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace

19761353_1391689854200014_8332316049789681664_n.jpg
19764981_150672002157995_233425807475736576_n.jpg
 
Alikuwa hajaoa au anaongeza/anabadilisha chungu
 
Sijamuona chairman au yeye anakuja party ya usiku, hongera aisee naona ukawa tu ccm hawajaalikwa?
 
Bora alivyomuowa huyu mwanamke maana daah alishamzeesha
 
Nilikumbuka nikacheka nilivoteswa na wale mademu
Mambo swadakta na grace ndo ma wife
Kidume nang'aa
Wanajigonga shenzi type

Ila usiache asili yako wamitulinga, wana bado tupo kitaa
 
Polisi hawajazuia hiyo kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!
 
Back
Top Bottom