Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Mnakwama wapi wanyonge changishaneni mjengeeni sanamu kiongozi wenu wa wanyonge mbona simple tu.
 
Sasa hivi kalala peke yake mbwembwe kwishney Mungu fundi jamani hapa ndio unaona faida ya kifo imagine tungekuwa hatufi huyu mtu angeumiza wangapi na walishaanza kumuimbia upuuzi wao wa mitano Tena na kutawala milele pumbavu kabisa.
Kuwa mzalendo wewe
 
Yeye kafanya zaidi ukumbuke hilo
 

Tatizo lilianzia hapa. Acha uchawi mkuu.
 
Mjenge muweke majumbani mwenu ili mumuenzi vizuri. Inatosha.
 
Yeye kafanya zaidi ukumbuke hilo
Yepi zaidi?? Muache hizi mambo za kuaminisha watu, maendeleo ni fadhila hisani na siyo wajibu.
Nyie ndiyo mlimpotosha mwendazake..
Aliomba uraisi afanye kazi. Kwa kutumia kodi zetu watanzania, hata wenzake walitumia kodi zetu kwa maendeleo yetu.
Hajawahi kuacha kupokea mshahara wala kuzuia lile fungu la ikulu lisipelekwe ikulu bali liende kwenye miradi ya maendeleo. Hata hela alizokuwa anagawa mitaani, hazikuwa zake bali kodi za watanzania.

Kama kuita wazungu beberu hakuanza yeye.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wachonge haraka sana hiyo sanamu ya kumbukumbu (sio kuabudu lakini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…