Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Yaani Libunge linafika mbeele ya bunge likiwa limeshiba kodi za wananchi, lakn katu halizungumzii matatizo ya wananchi ..Linazungunza ujingaujinga
 
Muwege na shukran basi ingelikuwa si Kikwete kujenga UDOM zile wizara zilizopata hifadhi pale na ile hospitali ya BM mgevipata wapi.... ingelikuwa si juhudi za JK ile terminal 3 JNIA, Mwendokasi na baadhi ya miradi mingine inayoimbwa kuwa mwendazake ndio aliijenga mgeiimbia wapi? Ingelikuwa si JK kumuibua mwendazake haya makelele yenu yangelitoka wapi...
Msifanye tukahoji maana tulizuiwa kuhoji ili sote tuwe kama mazwazwa waimbao wimbo mmoja...
Mnatarajia nini toka kwa WABUNGE WA HISANI...
Mwacheni mwendazake apumzike
 
Dhahabu lazima ipite kwenye moto ili ing'ae zaidi hayati Magufuli ni Dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…