Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Lijenge nyumbani kwako mkuu hamna shida,.nchi huru hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri
Lijenge nyumbani kwako mkuu hamna shida,.nchi huru hii..
Muwege na shukran basi ingelikuwa si Kikwete kujenga UDOM zile wizara zilizopata hifadhi pale na ile hospitali ya BM mgevipata wapi.... ingelikuwa si juhudi za JK ile terminal 3 JNIA, Mwendokasi na baadhi ya miradi mingine inayoimbwa kuwa mwendazake ndio aliijenga mgeiimbia wapi? Ingelikuwa si JK kumuibua mwendazake haya makelele yenu yangelitoka wapi...Kazi zake na matokeo ya hizo kazi! Ndo inamfanya aseme hivyo. Sasa kikwete ajengewe ndege inayoenda angani na kusema rais wa angani au?? JPM amepiga kazi ndugu! Kama alikutumbua! Pole kwa hilo. Na hauna haja ya kulaumu! ni vyema ukaangalia ni wapi ulikosea.