PreGE2025 Mbunge wa Moshi Vijijini Prof.Ndakidemi Apinga mpango wa kuligawa Jimbo hilo kwa kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika kikao cha dharura cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kilimanjaro (RCC), kilichoketi kujadili mapendekezo ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kuhusu mabadiliko ya majimbo ya uchaguzi, Prof. Ndakidemi alisema kuwa uamuzi huo umefanywa kwa misingi ya kisiasa badala ya maendeleo.

Jimbo si pana sana, ni jimbo oa kawaida bado liko managable
Ila limekaa kushoto kushoto hivi.
Kibosho, Uru, TPC, Old Moshi wagawe tu.
Kilimanjaro ina majimbo kibao.
Waongeze mengine.
Na Hai, ni yakugawa pia.
Juu ya lami na chini ya lami yawe majimbo tofauti
 
Nchi maskini majimbo 400
 
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika kikao cha dharura cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kilimanjaro (RCC), kilichoketi kujadili mapendekezo ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kuhusu mabadiliko ya majimbo ya uchaguzi, Prof. Ndakidemi alisema kuwa uamuzi huo umefanywa kwa misingi ya kisiasa badala ya maendeleo.

Hu

Huyu mwamba ni muoga tu
 
Ila limekaa kushoto kushoto hivi.
Kibosho, Uru, TPC, Old Moshi wagawe tu.
Kilimanjaro ina majimbo kibao.
Waongeze mengine.
Na Hai, ni yakugawa pia.
Juu ya lami na chini ya lami yawe majimbo tofauti
Kwanini Sasa?
 
Huyu Mbunge aache kulalamika, kwamba Jimbo wanalishwa kisasa badala ya kimaendeleo.Leo hii, nimeandika Mbunge huyu huyu akigawa miche bora ya migomba unayo weza kuzalisha Mkungu wa Ndizi wenye kilo 150 hadi 200 iwapo mgomba utatunzwa vizuri.

Lakini àmefanya kugawa miche hiyo kupitia viongozi wa ccm badala ya kugawa miche hiyo kupitia kwa viongozi wa Serikali ambao wangeweza kuigawa kwa wananchi bila upendeleo wa vyama! Katika mazingira kama hayo Mbunge ameonyesha kwamba yeye ni mwakilishi wa Wanaccm katika Jimbo lake badala ya kuwa mwakilishi wa wananchi. Pengine wanao gawa Jimbo hilo wameliona hilo, kwamba yeye aendelee kuwakilisha Wanaccm wenzie , wengine watawakilishwa na mwingine ambaye hatakua mbaguzi atawakilisha wananchi wote kwa usawa!
 
jimbo lipi hilo ambalo limekaa kushoto?
 
Kusema ukwel shida ya Moshi ni Mashamba kuwa mjini, Moshi vijijini ipo mpaka mjini na hivyo kuifanya Moshi manispaa kuwa ndogo sana..

Dawa hapo ni kupanua Manispaa badala ya kumega hilo jimbo ..

Kwamba Jimbo ni kubwa ni kweli, lakini cha muhimu eneo la Moshi V lipunguzwe Moshi iendelee.

Hayo mashamba ya kahawa mjini yapunguzwe.
 
Huyu Mbunge aache kulalamika, kwamba Jimbo wanalishwa kisasa badala ya kimaendeleo.Leo hii, nimeandika Mbunge huyu huyu akigawa miche bora ya migomba unayo weza kuzalisha Mkungu wa Ndizi wenye kilo 150 hadi 200 iwapo mgomba utatunzwa vizuri.

Lakini àmefanya kugawa miche hiyo kupitia viongozi wa ccm badala ya kugawa miche hiyo kupitia kwa viongozi wa Serikali ambao wangeweza kuigawa kwa wananchi bila upendeleo wa vyama! Katika mazingira kama hayo Mbunge ameonyesha kwamba yeye ni mwakilishi wa Wanaccm katika Jimbo lake badala ya kuwa mwakilishi wa wananchi. Pengine wanao gawa Jimbo hilo wameliona hilo, kwamba yeye aendelee kuwakilisha Wanaccm wenzie , wengine watawakilishwa na mwingine ambaye hatakua mbaguzi atawakilisha wananchi wote kwa usawa!
Huyu Prof sidhani hata kama atarudi tena bungeni mwaka huu. Na kwa kutambua hali hiyo huenda ndiyo sababu ya kugawa hiyo miche ya migomba kwa wananchi kupitia CCM badala ya serikali. Anajipendeleza ili labda kupata huruma ya kupitishwa kugombea tena.
 
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika kikao cha dharura cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kilimanjaro (RCC), kilichoketi kujadili mapendekezo ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kuhusu mabadiliko ya majimbo ya uchaguzi, Prof. Ndakidemi alisema kuwa uamuzi huo umefanywa kwa misingi ya kisiasa badala ya maendeleo.

Inasikitisha sana
 
Naanza kuona kila dalili kwa sheria/kanuni kubadilishwa kwenye Bunge lijalo ili kufanya majimbo yawe mengi...Sasa tunapoelekea majimbo yatatakiwa kuwa na kata chache
 
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza katika kikao cha dharura cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kilimanjaro (RCC), kilichoketi kujadili mapendekezo ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kuhusu mabadiliko ya majimbo ya uchaguzi, Prof. Ndakidemi alisema kuwa uamuzi huo umefanywa kwa misingi ya kisiasa badala ya maendeleo.

Prof yuko sahihi sana
Kuongeza Jimbo ni kuongeza gharama. Nina mashaka iko siku watalivunja jengo lao la Bunge Dodoma wajenge kubwa maana wabunge wameongezeka.
 
Back
Top Bottom