GE2025 Mbunge wa Muleba Kusini adaiwa kugawa fedha kwa wananchi

GE2025 Mbunge wa Muleba Kusini adaiwa kugawa fedha kwa wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Kuna hii video ya Mbunge wa Muleba Kusini anayedaiwa kugawa fedha kwa wananchi. Baada ya miaka mitano, leo Mbunge huyo, Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, amerudi jimboni na anawagawia wananchi elfu kumi, kumi. Kilichoniuma zaidi ni kuwaona wananchi wakikubali kupanga foleni ili wapewe chochote kitu.

 
Hiyo siyo habari.Habari ingekuwa ina kama ingekuwa "wajumbe wampatia pesa mbunge kama rushwa ili akubali kugombea.
 
Kugawa hadharani ili kukidhalilisha Chama hiyo ndiyo haikubaliki...kama nilielewa tangazo Lile.
 
Back
Top Bottom