Mbunge wa Nakuru ndani ya selo akila bata, kwa raha zake!

Mbunge wa Nakuru ndani ya selo akila bata, kwa raha zake!

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Mbunge wa Nakuru Town East Mheshimiwa David Gikaria ndani ya selo baada ya kumzaba afisa wa Kenya Police(OCS, Bondeni PS) kofi la mwendokasi. 😀😀😀 Stay strong Comrade, stay strong! [emoji38]
7z90Ra77oYGikaria%201.jpg
Muda sio mrefu wataanza kukushobokea wakikuletea maharage ya bure.
 
Kumbe tatizo la viongozi vijana ni dunia nzima

Na nyie wakenya ni wajinga kujidai wajuaji sana na mtapata vibano vya hela yote
 
Polisi alifanya nn??...Mana kuna polisi wanastahili makofi..
Alikuwa anatuliza vurugu zilizoibuka kati ya huyu mbunge na Meya wa zamani wa Nakuru, Mohammed Surrow.
 
Polisi alifanya nn??...Mana kuna polisi wanastahili makofi..

Hili nalo ni swali nzuri na la msingi, kuna polisi huwa natamani nikutane naye usiku wa kiza sehemu kichochoroni akiwa mwenyewe tuone inakuaje baada ya hapo. Enzi nikiwa kijana walinizingua sana mtaani.
Lakini huyu mbunge naye hapo alijitakia, wacha apokee shughuli.
 
Mbunge wa Nakuru Town East Mheshimiwa David Gikaria ndani ya selo baada ya kumzaba afisa wa Kenya Police(OCS, Bondeni PS) kofi la mwendokasi. 😀😀😀 Stay strong Comrade, stay strong! [emoji38]
7z90Ra77oYGikaria%201.jpg
Muda sio mrefu wataanza kukushobokea wakikuletea maharage ya bure.
Apige kofi sakafu sasa, maana inamsulubu vyema, na akitoka hapo vile kazoea raha lazima aumwe.
 
Back
Top Bottom