pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Alikuwa anatuliza vurugu zilizoibuka kati ya huyu mbunge na Meya wa zamani wa Nakuru, Mohammed Surrow.Polisi alifanya nn??...Mana kuna polisi wanastahili makofi..
Polisi alifanya nn??...Mana kuna polisi wanastahili makofi..
Au tukaanzishe hash tag ya dhahabu ya mfalmeKisa kama hiki kingefanyika bongo twitter ingejaa ma hash tag #releasepoliticalprisoners
Apige kofi sakafu sasa, maana inamsulubu vyema, na akitoka hapo vile kazoea raha lazima aumwe.Mbunge wa Nakuru Town East Mheshimiwa David Gikaria ndani ya selo baada ya kumzaba afisa wa Kenya Police(OCS, Bondeni PS) kofi la mwendokasi. πππ Stay strong Comrade, stay strong! [emoji38]Muda sio mrefu wataanza kukushobokea wakikuletea maharage ya bure.
Toa mifano ya hao wanasheria wengine wa Nakuru ndio tukuelewe vizuri.Nakuru/Kiambuu huwa wanapenda Viongozi thugs