Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe ajivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga CCM

Kwa kifupi kabisa,WAPINZANIA BADO WANA SAFARI NDEFU YA KUJIPANGA NA KUELEWA KILA MTU NA KUJUA NAMNA GANI YA KUZISHINDA MBINU ZA CCM.

TATIZO KUBWA LA CHADEMA NI KUPOKEA KIULAINI MTU BILA YA KUMUELEWA, WAKIREKEBISHA HAPO WATABAKIWA NA POINT TATU ZA KUMALIZA KARATA YAO.
Na Mwaka huu Chadema watarudia Tena upuuzi wa 2015.Utashangaa Wamempokea Nape,Makamba,Na Wabunge kibao watakaotoswa CCM.Yaani Bora Jimbo libaki bila mgombea kuliko kuchukua hao wajinga kutoka CCM au NCCR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom