Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Wazee wa Rambirambi mmeanza kujipanga! Aitwe Gambo hapo maana ni mzoefuTumwombe Mungu viongozi wa juu wa CHADEMA wasiushikie bango msiba huu maana kwa "KIKI" hawajambo!
Hongera kuwa wa kwanza kutoa taarifa, pamoja na kuwa haijakamilika!Supika ametangaza kutokea kwa kifo cha mbhnge wa Newala vijijini.. Taarifa yake haijabainisha chanzo cha kifo hicho.
Supika ametangaza kutokea kwa kifo cha mbhnge wa Newala vijijini.. Taarifa yake haijabainisha chanzo cha kifo hicho.
na bado hiyo rasha rasha tu mwaka huu ile chama chetu mim sisemiUshirikina @ work
Mh Supika ametangaza kutokea kwa kifo cha mbunge wa Newala vijijini.. Taarifa yake haijabainisha chanzo cha kifo hicho lakini wachambuzi wanakihusisha kifo hicho na 'pressure' za uchaguzi mkuu wa 2020!
Apumzike kwa amani mh mbunge!