TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi.

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameeleza kusikitishwa kwa taarifa za kifo cha Mbunge wa Newala Vijijini, Rashid Akbar, kilichotokea leo Januari 15, 2020 mkoani Lindi, na kueleza ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia watatoa taarifa ya mazishi ya Mbunge huyo.

Wakati akiwa hai akichangia mjadala Bungeni
View attachment 1324208
ccm wameanziana sasa.
 
Natumaini hakuwa kwenye ule mkutano wa Bagamoyo ..... watu wasianze kuunganisha dots!!
 
Back
Top Bottom