inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Waandishi wa habari waliopasuliwa vichwa wanakusonya tuShetani hajawahi kuwa na rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi wa habari waliopasuliwa vichwa wanakusonya tuShetani hajawahi kuwa na rafiki
Siwezi kutetea mbunge wa CCM hana msaada wowote kwa jamiiHabari kutoka Ngorongoro ni kwamba Mbunge wa Jimbo hilo, Emanuel Ole Shangai amechukuliwa na wasiojulikana.
Habari ni kwamba amepakiwa kwenye gari jeusi na kutokomea naye kusiko julikana.
Vyanzo vya habari zinasema alikuwa akitokea mjini arusha alivyofika karibia na mji wa karatu eneo la rhotia ilikuja gari nyeusi iliyo waovateki ikaenda mbele ikawablock wakamshusha wakampakiza kwenye gari yao wakaondoka naye.hadi sasa hajulikani alipo
Pia soma: Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini
Hatari snWatanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.
Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa, tena bure. Wadau wanaodai kuwa kuna rushwa zinanuka kwa kugawiwa Bandari zetu kwa wajomba, maana yake Rushwa inanuka.
Hivi vijisababu na hoja mbovu mbovu walizozitoa na wanazoendelea kuzitoa baada ya kushurutishwa kuhusu mkataba huu, havina maana yeyote ile. Ni uwongo kutaka kuhalilisha Udhalimu na Ufisadi unaotumika kumleta Mwarabu kuja kututawala.
Pinga udhalimu, maangamizo, Ukoloni mamboleo na ufisadi unaofanywa dhidi ya Watanzania,Watanganyika na Wamasai wa Taifa hili kwa nguvu zako zote. Wakemee Vibaraka wote wa Waarabu.
Binadamu wa kiafrika ni vigumu kuwaelewa. Hawa wanapoambiwa tuwe na katiba nzuri wanapinga. Wanaposhughulikiwa wanapiga kelele. Hivi mbunge aliyesema wapeleke vifaru Ngorongoro ni nani?Sa100 keshaanza kudumisha utamaduni
Kwa nini aliwakata waandishi wa habari mapanga Kwa kutumia Vijana? Huyu Apewe disciplineHabari kutoka Ngorongoro ni kwamba Mbunge wa Jimbo hilo, Emanuel Ole Shangai amechukuliwa na wasiojulikana.
Habari ni kwamba amepakiwa kwenye gari jeusi na kutokomea naye kusiko julikana.
Vyanzo vya habari zinasema alikuwa akitokea mjini arusha alivyofika karibia na mji wa karatu eneo la rhotia ilikuja gari nyeusi iliyo waovateki ikaenda mbele ikawablock wakamshusha wakampakiza kwenye gari yao wakaondoka naye.hadi sasa hajulikani alipo
Pia soma: Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini
Unazijua sababu za Wanahabari wale kupigwa ?Waandishi wa habari waliopasuliwa vichwa wanakusonya tu
Mama yuko kaziniHabari kutoka Ngorongoro ni kwamba Mbunge wa Jimbo hilo, Emanuel Ole Shangai amechukuliwa na wasiojulikana.
Habari ni kwamba amepakiwa kwenye gari jeusi na kutokomea naye kusiko julikana.
Vyanzo vya habari zinasema alikuwa akitokea mjini arusha alivyofika karibia na mji wa karatu eneo la rhotia ilikuja gari nyeusi iliyo waovateki ikaenda mbele ikawablock wakamshusha wakampakiza kwenye gari yao wakaondoka naye.hadi sasa hajulikani alipo
Pia soma: Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini
Ndio, haya sasa umeridhikaSamia unataka ardhi ya ngorongoro uwazawadie waarabu ili wajenge misikiti na kufanya ujangili
Kuna watu wamepewa mahela, majumba, magari, n.k Na wote wamefanyiwa kisomo na kupewa masharti.Hawa waarabu sijui wametoa zawadi gani ambayo haijawahi kuonekana Tanganyika ?!.
Nasema sijui !!