Mbunge wa Ngorongoro bado anashikiliwa na Polisi. Anahojiwa kuhusu Waandishi wa habari kupigwa

Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.

Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa, tena bure. Wadau wanaodai kuwa kuna rushwa zinanuka kwa kugawiwa Bandari zetu kwa wajomba, maana yake Rushwa inanuka.

Hivi vijisababu na hoja mbovu mbovu walizozitoa na wanazoendelea kuzitoa baada ya kushurutishwa kuhusu mkataba huu, havina maana yeyote ile. Ni uwongo kutaka kuhalilisha Udhalimu na Ufisadi unaotumika kumleta Mwarabu kuja kututawala.

Pinga udhalimu, maangamizo, Ukoloni mamboleo na ufisadi unaofanywa dhidi ya Watanzania,Watanganyika na Wamasai wa Taifa hili kwa nguvu zako zote. Wakemee Vibaraka wote wa Waarabu.
 
Maji yamechemka sana. MaCCM yameamua kumalizana. Ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha. Sasa wanamshughulikia ndugu yao.
 
Siwezi kutetea mbunge wa CCM hana msaada wowote kwa jamii
 
Hatari sn
 
Kwa nini aliwakata waandishi wa habari mapanga Kwa kutumia Vijana? Huyu Apewe discipline
 
Samia unataka ardhi ya ngorongoro uwazawadie waarabu ili wajenge misikiti na kufanya ujangili
 
Mama yuko kazini
 
Jamii check be like

"KWELI MBUNGE WA NGORONGORO HAJULIKANI ALIPO"
 
kama ni wa sisiemu gaina shida watamrudisha fu
 
Amwambie na mwenzake mruka sarakasi tunamsaka pia. Acha nae aonje joto walikuwa wanafurahia wenzao kuumia leo wanatia huruma za nini
 
Ukishaona hali kama hiyo ilitakiwa awe anatembea na convoy full loaded ,kitendo cha kublockiwa ilitakiwa vyuma vilie hapo.
 
Tunapoikataa ccm na kuukataa mkataba wa kinyonyaji, faida yake ni hadi kwa mamburula wa ccm wanaosema, DPWORD chukua yoteyote
 
Hawa waarabu sijui wametoa zawadi gani ambayo haijawahi kuonekana Tanganyika ?!.

Nasema sijui !!
Kuna watu wamepewa mahela, majumba, magari, n.k Na wote wamefanyiwa kisomo na kupewa masharti.
Ukizingua wanakuzingua! Kuna kulizwa, kuuliwa na kufilisiwa!
Wanaamua wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…