Mbunge wa Ngorongoro, hasikiki, kulikoni?

Mbunge wa Ngorongoro, hasikiki, kulikoni?

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Ngorongoro kuna mbunge?
2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani?
3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli?
4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
 
1. Ngorongoro kuna mbunge?
2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani?
3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli?
4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
Akileta "kilomolomo" uchaguzi ujao na 350000 kwa siku atazikisia akichunga ng'ombe za Wakenya crater.
 
1. Ngorongoro kuna mbunge?
2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani?
3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli?
4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
Juzi alimsifia mama kuwa ameupiga mwingi kuwaacha kuwasumbua wamasai na kurudisha huduma
 
1. Ngorongoro kuna mbunge?
2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani?
3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli?
4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
Balozi Gani aliyekwenda kutetea wamasai kuondolewa ngorongoro kwenye Bunge la ulaya
 
Back
Top Bottom