Wakati anamteua huyo mbowe hakujua hili? Acheni kujitekenya ,kiufupi huko chadema kuna fukuta sana,time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mgaya alikuwa Rombo kwa mapumziko ya mwaka mpya nadhani unakumbuka bwashee!
Huko nyuma kuna mahali niliandika kuwa mpaka 2020 wakati wa uchaguzi Chadema haita kuwa na nguvu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, sauti yako inaonyesha unamafua makali sana.Hilary zote zitashindwa kama zilivyoshindwa,Luna wakati Wassira alisema Chadema haitafika 2015,ikatunisha has,na Luna mtu aliwahisema"mpaka 2020 upinzani utakufa",leo ni Sikh 14 zimepita.
Selasini atapoteza umaarufu kama mzee Balozi na Chadema itaongeza wanachama na mashabiki.
Huko nyuma kuna mahali niliandika kuwa mpaka 2020 wakati wa uchaguzi Chadema haita kuwa na nguvu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anamteua huyo mbowe hakujua hili? Acheni kujitekenya ,kiufupi huko chadema kuna fukuta sana,time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunangoja mrejeshoNitahakikisha 2020 hakun upinzani tena magu 2016.
Total failure
Ndio maana sisi wana Chadema tunataka "mfumo" imara wa kuendesha nchi na Serikali. Na huu ni mfano wa "mfumo" imara kutoka Chadema.Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amejiuzulu na kumtaka M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumteua mtu mwingine kukaimu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni
Amesema tangu alipomkaimisha hajawahi kumpa barua rasmi wala kumthibitisha ktk kukaimu nafasi hiyo.
---
My take ,kufikia Oktoba CHADEMA itabaki na mwenyekiti na katibu peke,Mungu ni mwema siku zote
View attachment 1322304
View attachment 1322305
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kati ya Mnadhimu na Kaimu Mnadhimu...amemkaimisha.
..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.
..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Tatizo itakuwa fungu la Mnadhimu Mkuu lote anakula Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Ukiwa huna barua rasmi ya uteuzi unakosa nguvu ya kisheria kudai mafungu ya ofisi husika
Mbowe kaifaidi sana Chadema kuanzia Ruzuku mpaka Viti maalum
Iyo hajapewa barua rasmi ni zuga tu
Kwahiyo bila Lissu Chadema haiwezi kuwa na mbadala? pathetic..Mbowe ana wakati mgumu.
..Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya upinzani amepigwa RISASI ktk eneo linalolindwa na serikali, baada ya hapo Spika amemvua ubunge kwasababu zisizo na ubinadamu wala mashiko.
..Ikiwa Kiongozi wa kambi ya upinzani atateua mbunge mwingine kujaza nafasi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, atakuwa anabariki na kuhalalisha yaliyomtokea TL.
..kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Kwani Tundu ni Mbunge?dah Chadema si taasisi..amemkaimisha.
..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.
..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Kada wa CCM Mbowe na Mnyika ndio wafanye haya?Tindo nakuheshimuNdio muda mzuri wa kuwa na tume huru ya uchaguzi, maana cdm kunafukuta hivyo hamna mpinzani wa kuitisha ccm huku bara.
Nijipe moyo kwa kipi? Hata Selasini angejiuzulu ubunge, bado cdm haiwezi kuwa dhaifu kwa ajili ya nafasi ya kimadaraka ya huyo Selasini. Wameondoka wabunge na madiwani kibao kwenda ccm, lakini bado ccm inanajisi uchaguzi ili ibaki madarakani, itakuwa hiyo Selasini kutokuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?
Wasusie pia uchaguzi wa wabunge kuunga hizi harakati za lissu kuenguliwa...Mbowe ana wakati mgumu.