Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

huyu anajiandaa kurudi nyumbani na kuunga juhudi kwa ajili ya uchaguzi mkuu..

hali ya hewa ni nzito,jimbo limemshindwa na ukizingatia alimnanga mzee wa Kiraracha mgonjwa huku naye hali ni hiyohiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

..Rombo uchaguzi huwa ni mgumu siku zote.

..hata akienda ccm uchaguzi hautakuwa mrahisi kwake.

..labda ahamie ccm akawinde nafasi za kuteuliwa.
 
Selasini amemwandikia barua Mbowe leo Januari 13 2020 na kuwapa Nakala ya barua hiyo Spika wa Bunge Job Yustimo Ndugai na Katibu wa Bunge Steven Kagaigai.

Selasini ameweka wazi sababu za kujiuzulu nafasi hiyo kuwa kukaimishwa kwa muda mrefu bila kuthibitishwa Japo hajawahi kuonywa kwa namna yoyote ille kuashiria kushindwa kuimudu nafasi hiyo.

Hili ni tukio lingine linalothibitisha madhara ya mwendelezo wa ubabe wa Mnowe ndani ya CHADEMA.
 
Uliahidi ndani ya bunge kwamba kama Ben asipopatikana utahakikisha unawaunganisha wazee wa Rombo ili wahakikishe mtoto wao anapatikana , lakini muda ukapita bila muunganiko huo kufanyika .

Kwa bahati mbaya mambo yakakuharibikia zaidi ukaondolewa kwenye uenyekiti wa kanda ya Kaskazini kidemokrasia , umekasirika na kufura , sasa umeanza visa , tunakuomba kabla ya Usaliti mwingine hakikisha unatimiza ahadi yako
 
Sasa uhalisia wa wanaojiita Wachaga unaanza kujitokeza, Wamarangu na Warombo ni Mbwa na Paka na hawawezi kukaa sehemu moja hata siku moja, chadema ni ya Wamarangu + Machame, hivyo ni Mrombo hawezi kubali kuongozwa na Mmarangu, na kinyume chake.

Ni chuki ya ajabu!
 
Miaka yote alikuwa wapi ?
 
Yaani kweli mara hii umeshaanzisha uzi wa kumpiga makombora Joseph?

Duuh mambo yako sio mchezo aisee, but angalia Selasini sio wa mchezo anaweza kuwafanyaneni muonekane wadogo kama piritoni🙂
Uliahidi ndani ya bunge kwamba kama Ben asipopatikana utahakikisha unawaunganisha wazee wa Rombo ili wahakikishe mtoto wao anapatikana , lakini muda ukapita bila muunganiko huo kufanyika .

Kwa bahati mbaya mambo yakakuharibikia zaidi ukaondolewa kwenye uenyekiti wa kanda ya Kaskazini kidemokrasia , umekasirika na kufura , sasa umeanza visa , tunakuomba kabla ya Usaliti mwingine hakikisha unatimiza ahadi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni Wabaguzi wa Kikabila sana, wote wanaomtetea Mbowe ni Wamarangu + Machame, nje ya hapo wanahisi kutengwa na kubaguliwa. Wakibosho, Rombo kote wanabaguliwa, that’s why!
Mimi ni Mnyakyusa mkuu , sasa kwenye hiyo porojo yako unaniweka kwenye kundi gani ?
 
Back
Top Bottom