Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Ndugu yangu sikutegemea such a poor comment from senior JF member kama wewe! Nyie ndio maadui wa upinzani! Muda utaongea!

Utetezi wa kitoto sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeenh, kweli dunia ni mviringo.

Unaposhindwa kuelewa mantiki ya alichoandika mkuu JokaaKuu, kwako inakuwa rahisi kuyabatiza mawazo hayo kuwa "utetezi wa kitoto"?

Sasa haya yako uliyoweka hapa tuyaite nini?

Mbowe amesimama kwenye 'principle'.

Ungejiuliza inakuwaje mtu kama Selasini ashindwe kuona msimamo huo!

'Kukaimu' kumemnyima kitu gani katika kuifanya kazi hiyo aliyopewa kuifanya, na hasa ukizingatia kwamba tunaelekea kwenye mwisho wa uhai wa bunge hili!

Mbunge huyu anatambua wajibu wake katika chama, na hasa chama kinachopigwa dhoruba kila pande. Hili analofanya ndiko kutakakoimarisha chama chake wakati huu?

Halafu unakuja hapa na kejeli za "Ndugu yangu sikutegemea such a poor comment from senior JF member..."

'Comment' hii uliyoweka wewe ndio itakutambulisha wewe kuwa 'senior' kuliko 'JokaKuu'? Mbona yako ni 'worse'!
 
kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Nyie watu ni watu wa ajabu sana
Kanuni haisemi mnadhimu akipigwa risasi nafasi yake isizibww,kazi lazima zifanyike
..hebu tueleze kanuni zinasemaje mbunge akishambuliwa ktk eneo linalolindwa na serikali.
Lissu ameshambuliwa eneo wanaloishi viongozi lakini linalindwa na kampuni binafsi
Shahidi muhimu ni dereva anaetakiwa kuisaidia polisi basi hata muonekano wa hao washambuliaji,lakini kwa kuficha aibu ya kujulikana mipango yenu ovu,mmeamua kumficha dereva ambae ni shahidi muhimu sana
 
Team Mbowe kazini!
Kujiuzulu tu uandhimu mnapeleka mashambulizi?
Ila huyu 30 na Mbowe wanajua alipo saa nane
Kwenye uchaguzi wa 2015,saa 8 akielekea Rombo kwenye kura za maoni,alitengenezewa ajali alipifika kibaha maili moja,aliokua nao walikufa saa nane alipeta,alipofika Rombo akaambiwa sorry you are late brother!

Unajitahidi kuhamisha ukweli kuhusu Ben saa8, lakini ukweli wa hilo suala utabaki kule kule unakoelekezwa. Kuna ukweli hata itumike nguvu gani kuuhamisha hauhami. Namna pekee ya kuhamisha ukweli ule ni kuleta wachunguzi wa kimataifa ukweli uwekwe wazi. Kinyume na hapo hapa utakuwa unapoteza muda wako kwa kufua shati jeupe na maziwa, ukitegemea litakuwa jeupe zaidi.
 
Uliahidi ndani ya bunge kwamba kama Ben asipopatikana utahakikisha unawaunganisha wazee wa Rombo ili wahakikishe mtoto wao anapatikana , lakini muda ukapita bila muunganiko huo kufanyika .

Kwa bahati mbaya mambo yakakuharibikia zaidi ukaondolewa kwenye uenyekiti wa kanda ya Kaskazini kidemokrasia , umekasirika na kufura , sasa umeanza visa , tunakuomba kabla ya Usaliti mwingine hakikisha unatimiza ahadi yako
Miaka yote ulikua wapi kumkumbusha mpaka iwe sasa mkuu? Au ndio ukienda kinyume na matakwa ya boss unaundiwa zengwe la kidemokrasia!!!

macson
 
Heko Mbowe! Nilidhani Selasini ni mwenye akili kuwa Lissu bado ndiye mwenyewe! ,Huwezi kumwondoa ntu kwa ajili ya ugonjwa! Stop the nonsense!
 
..amemkaimisha.

..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.

..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Mtu akikaimishwa barua rasmi inahitajika na taratibu nyingine. Lissu akirudi angechukua nafasi yake
 
Acha kupotosha mkuu,hata huku uraiani huwa tunakaimishwa vyeo .ikimaanisha kuwa unatumikia nafasi huyo akija mhusika anakabidhiwa ,sasa wewe unapoleta habari za mbowe kuhararisha kushambuliwa kwa lissu mbona kama sikuelewi elewi vile
..amemkaimisha.

..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.

..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Mbowe ana wakati mgumu.

..Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya upinzani amepigwa RISASI ktk eneo linalolindwa na serikali, baada ya hapo Spika amemvua ubunge kwasababu zisizo na ubinadamu wala mashiko.

..Ikiwa Kiongozi wa kambi ya upinzani atateua mbunge mwingine kujaza nafasi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, atakuwa anabariki na kuhalalisha yaliyomtokea TL.

..kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Mkuu nina mtazamo tofauti kabisa kuhusu hili suala.

Kupigwa risasi na kuvuliwa Ubunge kwa TL hakuna maana ndio mwisho wa Upinzani.

Tumshukuru Mwenyezi mungu,kama TL asingekuwepo, je hangukuwepo mnadhimu milele?

Pili, Selasini alipopewa kakaimu ni kikokmbe kile kile tu kilichobadilika ni rangi.

Tatu, TL hakushambuliwa kwa unadhimu bali kwa misimamo yake na utaalamu wa sheria.
Kila kesi alishinda!

Hili ni mwendelezo wa Uongozi hafifu butu na usio na maono wa Mbowe.

Wngi hawakubali ukweli, Mbowe hana jipya, pengine jipya ni kundi lake la Mwambatuvushe.

Hakuna sababu yoyote ya maana ya Mbowe kutomthibitisha au kumkataa Selasini.

Ikiwa alihofia uhai wake, Mbowe alipaswa kuzungumza na Selasini na haya yote yasingetokea.

Kumthibitisha au kumuondoa mnadhimu hakuhitaji pesa, ni karasi tu na mhuri,.

Lazima Chadema waangalie picha kwa upana wake.

Viongozi wengi wanaoonekana wanaguswa na chama chao wanajiondoa, kulikoni?

Ikiwa hawajiondoi wanafanyiwa mauza uza kama yale ya Sumaye kushindwa na kivuli

Kama yale ya Mwambe kufanya kampeni dakika 5 mwenzake akifanya wiki mbili mfululizo.

Ukisoma barua ya Selasini kuna kitu katikati ya mistari.
Miaka 2 anakaimu bila kuthibitishwa au kuondolewa, hili halina uetetezi.

Selasini yupo sahihi, hahitaji kudhalilika zaidi. Kauliza mbona hajaonywa kama kuna kosa?

Kwa upande mwingine ninawalaumu sana akina Selasini na wanaojiuzulu kinyonge.

Please rise up to the occasion, Mbowe is killing the opposition camp in this country.

Kiongozi asiyeweza kuandika au kuzungumza na kaimu mnadhimu kuhusu kumtihibitisha au kumuondoa, kiongozi huyo hawezi kusimama kuendesha kambi ya upinzani.

Anapanda ndege kwenda kuomba msamaha Mwanza, hawezi kumthibitisha au kuondoa mnadhiu mkuu wa kambi ya upinzani!!

Chadema, ''if you will not rise up to the occasion'' mnafanya autolysis, mnajimaliza

Simameni mumuulize Mbowe ''what's going on'' na ana vision gani !

Mbowe amechoka, hana jipya na ni tatizo kubwa ndani ya chadema!

Kuputika kwa viongozi chanzo kikubwa ni udhaifu wa Uongozi wa Mbowe!

Ninyi wanachama atakaye nusuru chama chenu si viongozi ambao ni mwamba tuvushe.

Ni ninyi wenyewe mtakaposimama na kwambia Mbowe, chama kimepoteza mwelekeo.

Msipokuwa wakweli kwa nafsi zenu, hamzitendei haki. Ukweli unauma lakini usemwe!

Pascal Mayalla
 
..amemkaimisha.

..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.

..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Hayo siyo mapenzi ya Mbowe bali ni utaratibu wa kibunge
 
..Mbowe ana wakati mgumu.

..Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya upinzani amepigwa RISASI ktk eneo linalolindwa na serikali, baada ya hapo Spika amemvua ubunge kwasababu zisizo na ubinadamu wala mashiko.

..Ikiwa Kiongozi wa kambi ya upinzani atateua mbunge mwingine kujaza nafasi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, atakuwa anabariki na kuhalalisha yaliyomtokea TL.

..kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Kwani TL ndo anathamani kubwa kuliko 110 wa ajali ya Mafuta Morogoro, au Askari Police 16 kule kibiti au Waliopata ajali na kufa au waliosombwa na Maji au Waliokufa kwa ajali za kushambuliwa huko Iran ,Iraq, Libya. Nimeanza kuingia na Wasiwasi kuna Dalili nyie Mlitaka kumuua ili asiwe Mwenyekiti ili muifanye ajenda za kisiasa.
TL alikuwa anaichafua nchi kimataifa, eti Kashambuliwa kwani Viongozi Wengine waliofanyiwa unyama kule kibit alifanya sherehe.
Kwa upande Wangu TL amekosa Sifa ya kuwa hata Kiongozi wa Familia yake. Haiwezekani eti mtu unataka kuwa Kiongozi wa Familia iliyoitukana kuwa haifai kwa Majirani.
Mbaya zaidi huko anakokimbilia kuwa kuna amani kutwa wanawinda kuwafuta Wengine ili wawe supa power. Ila Mwaka huu wameufyata mfyuuuu. Waafrika tumechoka kuwa na Mapapeti kama TL na rafiki zake.
Hakuna Mzungu aliyewahi kufikilia kukupenda wewe, anafikilia apate ni Matatizo yakikutokea.
2020 Kataa Mapapeti, Twende na Mzalendo JPM ambaye ametuonesha yupo tayari kuchukiwa na Mabeberu kwa Maslahi mapana ya Watanzania. Na namuombea aendelee kuwa juu zaidi ya Penati Makame 😆😆😆😆😎😎😅🤣🤣🤣🤣🤣.
Siasa siyo Sanaa ni Maisha ya Watu, tusijaribu Maisha. Kataa TL Msaliti wa nchi 🖐🖐🖐.
 
Mkuu nina mtazamo tofauti kabisa kuhusu hili suala.

Kupigwa risasi na kuvuliwa Ubunge kwa TL hakuna maana ndio mwisho wa Upinzani.

Tumshukuru Mwenyezi mungu,kama TL asingekuwepo, je hangukuwepo mnadhimu milele?

Pili, Selasini alipopewa kakaimu ni kikokmbe kile kile tu kilichobadilika ni rangi.

Tatu, TL hakushambuliwa kwa unadhimu bali kwa misimamo yake na utaalamu wa sheria.
Kila kesi alishinda!

Hili ni mwendelezo wa Uongozi hafifu butu na usio na maono wa Mbowe.

Wngi hawakubali ukweli, Mbowe hana jipya, pengine jipya ni kundi lake la Mwambatuvushe.

Hakuna sababu yoyote ya maana ya Mbowe kutomthibitisha au kumkataa Selasini.

Ikiwa alihofia uhai wake, Mbowe alipaswa kuzungumza na Selasini na haya yote yasingetokea.

Kumthibitisha au kumuondoa mnadhimu hakuhitaji pesa, ni karasi tu na mhuri,.

Lazima Chadema waangalie picha kwa upana wake.

Viongozi wengi wanaoonekana wanaguswa na chama chao wanajiondoa, kulikoni?

Ikiwa hawajiondoi wanafanyiwa mauza uza kama yale ya Sumaye kushindwa na kivuli

Kama yale ya Mwambe kufanya kampeni dakika 5 mwenzake akifanya wiki mbili mfululizo.

Ukisoma barua ya Selasini kuna kitu katikati ya mistari.
Miaka 2 anakaimu bila kuthibitishwa au kuondolewa, hili halina uetetezi.

Selasini yupo sahihi, hahitaji kudhalilika zaidi. Kauliza mbona hajaonywa kama kuna kosa?

Kwa upande mwingine ninawalaumu sana akina Selasini na wanaojiuzulu kinyonge.

Please rise up to the occasion, Mbowe is killing the opposition camp in this country.

Kiongozi asiyeweza kuandika au kuzungumza na kaimu mnadhimu kuhusu kumtihibitisha au kumuondoa, kiongozi huyo hawezi kusimama kuendesha kambi ya upinzani.

Anapanda ndege kwenda kuomba msamaha Mwanza, hawezi kumthibitisha au kuondoa mnadhiu mkuu wa kambi ya upinzani!!

Chadema, ''if you will not rise up to the occasion'' mnafanya autolysis, mnajimaliza

Simameni mumuulize Mbowe ''what's going on'' na ana vision gani !

Mbowe amechoka, hana jipya na ni tatizo kubwa ndani ya chadema!

Kuputika kwa viongozi chanzo kikubwa ni udhaifu wa Uongozi wa Mbowe!

Ninyi wanachama atakaye nusuru chama chenu si viongozi ambao ni mwamba tuvushe.

Ni ninyi wenyewe mtakaposimama na kwambia Mbowe, chama kimepoteza mwelekeo.

Msipokuwa wakweli kwa nafsi zenu, hamzitendei haki. Ukweli unauma lakini usemwe!

Pascal Mayalla
Makala ya siku
 
Back
Top Bottom