Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Wote wanaoamini katika ajira ya Siasa hawatabaki upinzani maana jiwe anarudisha chama kimoja so watu wanajiandaa mapema Ila kitu wanatakiwa kujua huu sio uchaguzi wakukaza nafasi lqzima huko ugambani kura za maoni zitahusika sasa sijui ni kwa vipi mgeni atapitishwa
huyu anajiandaa kurudi nyumbani na kuunga juhudi kwa ajili ya uchaguzi mkuu..

hali ya hewa ni nzito,jimbo limemshindwa na ukizingatia alimnanga mzee wa Kiraracha mgonjwa huku naye hali ni hiyohiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..amemkaimisha.

..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.

..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Akili ndogo hawawezi kukuelewa mkuu
 
Selasini ni mkimbizi wa fursa kwenye siasa ametokea Nccr kapata Jimbo la Rombo kwa nguvu kubwa ya Chadema lkn hana msaada kwa chama
Mimi naomba tu kumuuliza swali rafiki yangu, Erythro, ambaye ninamtambua kwamba ni CHADEMA damu damu,akiwakilisha chama hicho kwenye jukwaa hili la JF Siasa.

Mkuu Erythro, huyu Mbunge naye anatambulika huko chamani kama mpiganaji? Mpambanaji?

Naomba tu jibu rahisi rafiki yangu.

Kama mnao watu kama huyu, robo tu ndani ya chama, mnayo mategemeo yoyote ya kuiongoza nchi hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hila zote zitashindwa kama zilivyoshindwa,kuna wakati Wassira alisema Chadema haitafika 2015,ikatunisha Msuli hasa,na kuna mtu aliwahisema"mpaka 2020 upinzani utakufa",leo ni Siku 14 zimepita.
Selasini atapoteza umaarufu kama mzee Balozi na Chadema itaongeza wanachama na mashabiki.
Kataa ukubali, chadema kuna tatizo linalohitaji ufumbuzi, na tatizo kubwa ni fedha, hata Selasini kujiengua ni kua fedha alizotakiwa kulipwa ambazo ni stahiki yake kikatiba, hakupewa
 
Mpuuzi kama wewe ninao uwezo wa kukulisha maisha yako yote ,hadi na wazazi wako,unaongelea shemeji kwa sababu unauzoefu wa kulelewa kwa mashemeji zako,na inaonesha una Dada wengi sana,uje unipe mmoja ili uje nikufuge kwangu
Mjinga kama ww unaharisha hapa kutukana watu pengine bado unaishi kwa shemeji yako hata mitaa ya Dar huijui nawe eti unatuka Mbowe jinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikiheshimu maoni yako mara nyingi Ila hapa NAKUPINGA ni hivi huenda nikweli kama mnavyosema Mbowe hafai kuonoza Chadema ingawa hatuambiwi hafai kwa muktadha upi....!! Selasini hajatuambia kutothibitishwa kuwa mnadhimu kulikwamishaje kutimiza wajibu wake! pili yeye aikiwa mwanachama na Mbunge aliwahi kulizungumza kwenye vikao vyao?

Mkuu nguruvi mbona umeingia kwenye mkumbo? mawazo yangu ni haya wote wanaoamini katika ajira kwenye Siasa hawatabaki upinzani ukichukulia mtawala aliepo hataki vyama pinzani so ili uwe mBUNGE lazima uhame kambi mapema sio Selasini mwaka huu akagombea CHADEMA so muda utatupatia majibi. Nguruvi3,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo itakuwa fungu la Mnadhimu Mkuu lote anakula Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Ukiwa huna barua rasmi ya uteuzi unakosa nguvu ya kisheria kudai mafungu ya ofisi husika

Mbowe kaifaidi sana Chadema kuanzia Ruzuku mpaka Viti maalum

Iyo hajapewa barua rasmi ni zuga tu
Ndio maana alikuwa hampi barua
 
Back
Top Bottom