Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Hicho ni kifaa haswa kama Selasini analalamika ni vyema kuangalia tatizo liko wapi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli uongozi ni taaluma na mtu anapaswa kufundishwa namna bora ya kuwa kiongozi ikiwa ni pamoja na kujenga hoja zenye mashiko. Kwa maelezo haya ya Selasini maswali mengi yanaibuka.
1. Kama hatambuliki kwenye uongozi wa bunge aliingiaje kwenye hivyo vikao vya maamuzi kwa tiketi ya mnadhimu wa kambi ya upinzani?

2. Kama hatambuliki na uongozi wa bunge ananampelekeaje barua ya kujiuzulu nafasi hiyo Spika na Katibu wa Bunge?
Yaani anawajulishaje kujiuzulu kwake watu wasiomfahamu kuwa alikuwa na cheo hicho?

3. Je, hakukuwa na namna nyingine ya kuongea na aliyemteua zaidi ya hii ya kuandika barua?

4. Ameshindwa nini kumwambia aliyemteua kuwa ampe barua ya uteuzi ile afanye kazi kwa uhuru?

5. Kama sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi, kwa nini mwanzo alikubali afanye kazi bila barua na sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi?

6. Kama akatibu wa Bunge na Spika wameipokea barua hiyo, watakuwa wamefanya hivyo kwa mantiki gani wakati wao hawamjui kama alikuwa na cheo hicho?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Kwani huyu si Alipigwa chini uenyekiti wa Kanda ya kasikazini? Au mmesahau kama Kanda tu hatakiwi anapatawapi ubora kuwa mnadhim?
Nijipe moyo kwa kipi? Hata Selasini angejiuzulu ubunge, bado cdm haiwezi kuwa dhaifu kwa ajili ya nafasi ya kimadaraka ya huyo Selasini. Wameondoka wabunge na madiwani kibao kwenda ccm, lakini bado ccm inanajisi uchaguzi ili ibaki madarakani, itakuwa hiyo Selasini kutokuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
digba sowey,
Huyu naye ni mburula, utajiuzuruje nafasi ambayo hujateuliwa rasmi? Au ndiyo anamuomba Mbowe amteue rasmi!
 
..amemkaimisha.
ampe sasa barua ya kukaimu. Halafu hii logic ya kuwa akimpa barua rasmi atabariki 'madhila' yaliyompata Lissu, sijui mnaipata wapi!!. Hii ni logic mliyotunga kujaribu kufunika madhaifu ya KUB/mwenyekiti wa chama.

Tuelezwe...mafungu ya mnadhimu mkuu wa upinzani nani alikuwa anayasmamia? Na huyu Mh. Selasini alikuwa anahudhuria vipi vikao alivyovitaja vya kamati za Bunge bila kuwa na barua rasmi ya utambulisho..>!? Na hao wenyeviti wa kamati hizo walikuwa wanamruhusuje Mh. Selasini kuudhuria hivyo vikao vya kamati kwa vigezo vipi?

Majibu tafadhali.
 
Huyo ndugu ni gende la Slaa tangu uchaguzi wa 2015 jamaa hajapona maheraha sijui aliahidiwa nini na slaa ingawa anaemshabikia anakula maisha ughaibuni kasahau yote ya bongo anaimba sifa za jiwe tu
Ni kweli Mbowe ana mapungufu yake hata mimi hilo nalikubali, lakini unaposema baada ya kibano cha 2020 ndio nimekujua una chuki binafsi na Mbowe, na sio udhaifu wa uongozi wa Mbowe ndani ya taasisi. Bado unaamini 2020 kuna uchaguzi katika mazingira haya?

Unaweza kusimama mbele ya watu na kuita uhayawani katika uchaguzi kuwa ni kibano? Hicho kibano ni kama hiki kilichotokea uchaguzi wa SM? Ni hivi, una chuki binafsi na Mbowe wala sio suala la kuchukia Cdm inavyoondeshwa. Tuna uwezo wa kujua tuhuma dhidi ya ubovu wa chama, na chuki binafsi dhidi ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Begi ziko stand anasubiri usafiri wa kumfikisha kwenye kituo cha kuunga juhudi ni maandalizi ya 2020
Sasa anajiuzulu vipi kwa barua wakati hateuliwa kwa barua na analalamikia hilo ...... Something is wrong. Mpaka ana mcopy Spika na katibu wakati wakikuwa kumbukumbu au barua ya uteuzi wake ............!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barua aliyoandika alieleza pia kukosa pesa?
Barua inasema hajapewa barua ya kukaimishwa, ndicho kitu kikubwa anachokitaka na sio kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Ni suala la kawaida sana, kufanya majukumu ya ziada ambayo unafahamu kabisa yanamalipo yake na usipate hayo malipo ni tatizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..amemkaimisha.

..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.

..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.
Nahisi hujaelewa vizuri alichoandika. Anasema hajawahi kupewa barua ya kukaimishwa sio kwamba anataka achukue nafasi ya TL. Hope hili ni kosa la kiufundi labda walisahau kumwandikia barua.Lakini siangewasamehe tu akaendelea na kazi mpaka mwisho wa mwaka huu 2020?
 
Maswali yote haya jibu lake ni safari yakuelekea kuunga juhudi as you know October 2020 is around
Kwa kweli uongozi ni taaluma na mtu anapaswa kufundishwa namna bora ya kuwa kiongozi ikiwa ni pamoja na kujenga hoja zenye mashiko. Kwa maelezo haya ya Selasini maswali mengi yanaibuka.
1. Kama hatambuliki kwenye uongozi wa bunge aliingiaje kwenye hivyo vikao vya maamuzi kwa tiketi ya mnadhimu wa kambi ya upinzani?

2. Kama hatambuliki na uongozi wa bunge ananampelekeaje barua ya kujiuzulu nafasi hiyo Spika na Katibu wa Bunge?
Yaani anawajulishaje kujiuzulu kwake watu wasiomfahamu kuwa alikuwa na cheo hicho?

3. Je, hakukuwa na namna nyingine ya kuongea na aliyemteua zaidi ya hii ya kuandika barua?

4. Ameshindwa nini kumwambia aliyemteua kuwa ampe barua ya uteuzi ile afanye kazi kwa uhuru?

5. Kama sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi, kwa nini mwanzo alikubali afanye kazi bila barua na sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi?

6. Kama akatibu wa Bunge na Spika wameipokea barua hiyo, watakuwa wamefanya hivyo kwa mantiki gani wakati wao hawamjui kama alikuwa na cheo hicho?

Maswali ni mengi kuliko majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali ya namna hii ungemuuliza Selasini angeweza kukujibu vzr
ampe sasa barua ya kukaimu. Halafu hii logic ya kuwa akimpa barua rasmi atabariki 'madhila' yaliyompata Lissu, sijui mnaipata wapi!!. Hii ni logic mliyotunga kujaribu kufunika madhaifu ya KUB/mwenyekiti wa chama.

Tuelezwe...mafungu ya mnadhimu mkuu wa upinzani nani alikuwa anayasmamia? Na huyu Mh. Selasini alikuwa anahudhuria vipi vikao alivyovitaja vya kamati za Bunge bila kuwa na barua rasmi ya utambulisho..>!? Na hao wenyeviti wa kamati hizo walikuwa wanamruhusuje Mh. Selasini kuudhuria hivyo vikao vya kamati kwa vigezo vipi?

Majibu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli uongozi ni taaluma na mtu anapaswa kufundishwa namna bora ya kuwa kiongozi ikiwa ni pamoja na kujenga hoja zenye mashiko. Kwa maelezo haya ya Selasini maswali mengi yanaibuka.
1. Kama hatambuliki kwenye uongozi wa bunge aliingiaje kwenye hivyo vikao vya maamuzi kwa tiketi ya mnadhimu wa kambi ya upinzani?

2. Kama hatambuliki na uongozi wa bunge ananampelekeaje barua ya kujiuzulu nafasi hiyo Spika na Katibu wa Bunge?
Yaani anawajulishaje kujiuzulu kwake watu wasiomfahamu kuwa alikuwa na cheo hicho?

3. Je, hakukuwa na namna nyingine ya kuongea na aliyemteua zaidi ya hii ya kuandika barua?

4. Ameshindwa nini kumwambia aliyemteua kuwa ampe barua ya uteuzi ile afanye kazi kwa uhuru?

5. Kama sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi, kwa nini mwanzo alikubali afanye kazi bila barua na sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi?

6. Kama akatibu wa Bunge na Spika wameipokea barua hiyo, watakuwa wamefanya hivyo kwa mantiki gani wakati wao hawamjui kama alikuwa na cheo hicho?

Maswali ni mengi kuliko majibu.

Hiyo vita ya Kikabila, hakuna logic hapo, ni Urombo vs Machame/Marangu!
 
You write more or less like a genius person, NAKUPIGIA SALUTE MKUU

..Mbowe ana wakati mgumu.

..Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya upinzani amepigwa RISASI ktk eneo linalolindwa na serikali, baada ya hapo Spika amemvua ubunge kwasababu zisizo na ubinadamu wala mashiko.

..Ikiwa Kiongozi wa kambi ya upinzani atateua mbunge mwingine kujaza nafasi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, atakuwa anabariki na kuhalalisha yaliyomtokea TL.

..kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
 
Huyo ndugu ni gende la Slaa tangu uchaguzi wa 2015 jamaa hajapona maheraha sijui aliahidiwa nini na slaa ingawa anaemshabikia anakula maisha ughaibuni kasahau yote ya bongo anaimba sifa za jiwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tena sifa zenyewe za jiwe anazoimba ni ili kupunguza machungu yake dhidi ya cdm. Amekuwa kama Waitara, kila akiongea ni kuonyesha hasira zake dhidi ya cdm.
 
ampe sasa barua ya kukaimu. Halafu hii logic ya kuwa akimpa barua rasmi atabariki 'madhila' yaliyompata Lissu, sijui mnaipata wapi!!. Hii ni logic mliyotunga kujaribu kufunika madhaifu ya KUB/mwenyekiti wa chama.

Tuelezwe...mafungu ya mnadhimu mkuu wa upinzani nani alikuwa anayasmamia? Na huyu Mh. Selasini alikuwa anahudhuria vipi vikao alivyovitaja vya kamati za Bunge bila kuwa na barua rasmi ya utambulisho..>!? Na hao wenyeviti wa kamati hizo walikuwa wanamruhusuje Mh. Selasini kuudhuria hivyo vikao vya kamati kwa vigezo vipi?

Majibu tafadhali.

..sehemu ya pili ya hoja yake wahusika ni ofisi ya Spika na Ofisi ya katibu wa bunge.
 
Kwa kweli uongozi ni taaluma na mtu anapaswa kufundishwa namna bora ya kuwa kiongozi ikiwa ni pamoja na kujenga hoja zenye mashiko. Kwa maelezo haya ya Selasini maswali mengi yanaibuka.
1. Kama hatambuliki kwenye uongozi wa bunge aliingiaje kwenye hivyo vikao vya maamuzi kwa tiketi ya mnadhimu wa kambi ya upinzani?

2. Kama hatambuliki na uongozi wa bunge ananampelekeaje barua ya kujiuzulu nafasi hiyo Spika na Katibu wa Bunge?
Yaani anawajulishaje kujiuzulu kwake watu wasiomfahamu kuwa alikuwa na cheo hicho?

3. Je, hakukuwa na namna nyingine ya kuongea na aliyemteua zaidi ya hii ya kuandika barua?

4. Ameshindwa nini kumwambia aliyemteua kuwa ampe barua ya uteuzi ile afanye kazi kwa uhuru?

5. Kama sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi, kwa nini mwanzo alikubali afanye kazi bila barua na sasa hawezi kufanya kazi hiyo bila barua ya uteuzi?

6. Kama akatibu wa Bunge na Spika wameipokea barua hiyo, watakuwa wamefanya hivyo kwa mantiki gani wakati wao hawamjui kama alikuwa na cheo hicho?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Ndicho kinachoniduwaza mpaka sasa,sijui tutampata nani wakutuweka sawa kwenye masuala haya uliyoyaainisha hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom