Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Watu wengine mnavituko kweli,ukiulizwa nini maana ya tume huru hujui lakini umekalia nyimbo za tume huru

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taarifa yako mimi sio kiazi kama ww na ninajua ninachokizungumza. Sio kwamba kujua tu maana ya hiyo tume huru, bali hata tume huru iweje na ifanye vipi kazi nafahamu kwa usahihi. Ww usiyejua maana ya tume huru ya uchaguzi ndio umemezeshwa maneno ya kuona tume huru ya uchaguzi sio muhimu, na hii iliyopo ni tume huru. Nakushauri utulie wanaume wajadili uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
 
Keep on dreaming,kama unataka tume guru anzeni kwanza huko chadema muunde tume guru,maana mboye ni mtaalamu wa kuchakachua matokeo

Simchukii Mbowe hata kidogo nina tatizo na jinsi Chadema inavyoendeshwa. Tatizo kubwa ni watu kama nyie ambao mnafaidika na utawala wake. Nafikiri baada ya kibano 2020 then tutajua kama mnaipenda Chadema au mnapenda Mbowe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli Mbowe ana mapungufu yake hata mimi hilo nalikubali, lakini unaposema baada ya kibano cha 2020 ndio nimekujua una chuki binafsi na Mbowe, na sio udhaifu wa uongozi wa Mbowe ndani ya taasisi. Bado unaamini 2020 kuna uchaguzi katika mazingira haya?

Unaweza kusimama mbele ya watu na kuita uhayawani katika uchaguzi kuwa ni kibano? Hicho kibano ni kama hiki kilichotokea uchaguzi wa SM? Ni hivi, una chuki binafsi na Mbowe wala sio suala la kuchukia Cdm inavyoondeshwa. Tuna uwezo wa kujua tuhuma dhidi ya ubovu wa chama, na chuki binafsi dhidi ya mtu.
 
Tatizo yeye aliteuliwa kwa mdomo alafu anajiudhulu kwa barua kama yeye aliteuliwa kihuni angejiudhulu kihuni pia
 
Keep on dreaming,kama unataka tume guru anzeni kwanza huko chadema muunde tume guru,maana mboye ni mtaalamu wa kuchakachua matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ww ni bendera fuata upepo, ukisikia neno wameongea wanaume na wa unadakia na kulipaka mafuta, lakini huna lolote ujualo ww makande yaliyochacha.
 
Sasa anajiuzulu vipi kwa barua wakati hateuliwa kwa barua na analalamikia hilo ...... Something is wrong. Mpaka ana mcopy Spika na katibu wakati wakikuwa kumbukumbu au barua ya uteuzi wake ............!!
 
digba sowey,
Katika historia ya CHADEMA kuna mambo mazuri yaliyofanywa na waasisi (Alhaj Bob Makani na Mtei) ya kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kuwa cha wote. walisuruhisha migogoro mingi kila ikitokea.

Baada ya hawa wazee kukaa pembeni tulishuhudia wanachama muhimu wakijiengua mmoja baada ya mmoja ikiwemo viongozi wa chama : Dr Slaa, katabi, Zito Kabwe, Sumaye na wengine wengi, hii inaonesha kuwa kiongozi aliyepo sasa ni sawa na kunguru asiyefugika. Tumuachie chama chake.
 
Wewe kweli kiazi,kamalizaneni na migogoro ya chama kwanza ndo uje na huu uharo wako,kilaza mkubwa wewe
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ww ni bendera fuata upepo, ukisikia neno wameongea wanaume na wa unadakia na kulipaka mafuta, lakini huna lolote ujualo ww makande yaliyochacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..amemkaimisha.

..maana yake ni kwamba Mbowe bado anamtambua TL kama mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni.

..Mbowe akimthibitisha Selasini atakuwa anahalalisha kuwa ni sahihi TL kuvuliwa ubunge, na pia ni halali alivyopigwa risasi.

Barua inasema hajapewa barua ya kukaimishwa, ndicho kitu kikubwa anachokitaka na sio kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Ni suala la kawaida sana, kufanya majukumu ya ziada ambayo unafahamu kabisa yanamalipo yake na usipate hayo malipo ni tatizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu hajataka barua ya kuwa mnadhimu Bali barua rasmi kukaimu nafasi Hiyo. Kama unamteua mtu kukaimu nafasi maana yake muhusika hayupo kwa wakati huo na Kama anafanya majukumu yote mpe barua rasmi ya ofisi ili likitokea tatizo lolote usimruke awe na maandishi.

Ikitokea Mbowe katolewa,kafa,kaumwa n.k yeye aliyekaimu inawezekana akashindwa kutekeleza majukumu yake kwasababu yakukaimishana kwa mdomo ofisi zinaweza zidimtambue.
CDM ianze kuafuata taratibu za ofisi Kama taasisi sasa JokaKuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hajataka barua ya kuwa mnadhimu Bali barua rasmi kukaimu nafasi Hiyo.
Kama unamteua mtu kukaimu nafasi maana yake muhusika hayupo kwa wakati huo na Kama anafanya majukumu yote mpe barua rasmi ya ofisi ili likitokea tatizo lolote usimruke awe na maandishi.
Ikitokea Mbowe katolewa,kafa,kaumwa n.k yeye aliyekaimu inawezekana akashindwa kutekeleza majukumu yake kwasababu yakukaimishana kwa mdomo ofisi zinaweza zidimtambue.
CDM ianze kuafuata taratibu za ofisi Kama taasisi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili lilikuwa jambo la kiofisi tu .
 
JokaKuu,
Ninachojiuliza ni kuwa yeye alijuaje kama kakaimishwa nafasi fulani bila barua?Aliambiwa kwa mdomo?Alikubali vipi kukaimu nafasi kwa kuambiwa kwa mdomo.Kwa mtazamo wangu,huyo hakupewa hiyo nafasi kwa namna yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Selasini kawa 50 cent?!
Yani uwenyekiti wa kanda ni mkubwa kuliko unadhimu wa mambo ya upinzani bungeni?!

Selasiini anakimbia chama sasa.

Sumaye aliukosa,akakimbia, Mwambe akalialia.

John Heche atakuja na lipi yeye?!
 
Nyie watu ni watu wa ajabu sana
Kanuni haisemi mnadhimu akipigwa risasi nafasi yake isizibww,kazi lazima zifanyike
Lissu ameshambuliwa eneo wanaloishi viongozi lakini linalindwa na kampuni binafsi
Shahidi muhimu ni dereva anaetakiwa kuisaidia polisi basi hata muonekano wa hao washambuliaji,lakini kwa kuficha aibu ya kujulikana mipango yenu ovu,mmeamua kumficha dereva ambae ni shahidi muhimu sana

..mbona hamuitaji kampuni binafsi inayolinda nyumba za viongozi area D?

..na nani alitoa maelekezo walinzi wa kampuni binafsi waondolewe siku ya tukio la kushambuliwa TL?

..Je, kuna mtu wa serikali aliwaelekeza walinzi wa kampuni binafsi kuwa Sept 7, 2017 viongozi wanaoishi area D walikuwa hawahitaji ulinzi?
 
Back
Top Bottom