Na kukesha JF kulalamika [emoji23][emoji1787][emoji2960]Chadema itabaki na mabingwa wa Matusi
Kamanda mwengine amejitoa who is next?[emoji16][emoji1]Kwi! Kwi! Kwi!
Walitakiwa Risasi moja ya shingo wote wanao hamahama mavyama
Kituo cha mapumziko akisubiri kuunganisha ndege kwenda nchi ya kijani.Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge
Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa CHADEMA
Imeeleza kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
Nimeamini kweli unatakiwa upimwe akili.Sio kawaida.Walitakiwa Risasi moja ya shingo wote wanao hamahama mavyama