Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kuondoka CHADEMA na kujiunga NCCR Mageuzi

Mbunge wa Rombo kupitia chama cha CHADEMA , Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe.

1588067830363.png
EWquq0ZWAAA94B2.jpg

#Bongo5Updates: Mbunge wa Rombo kupitia @ChademaTz
, Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho @freemanmbowetz
. pic.twitter.com/JssNat1bSd
— bongo5.com (@bongofive) April 28, 2020
Tunataka kujua admin kwa pgroup hilo ni nani????na kwanini wamtoe mwenzao bila kumwambia??? 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge

Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa CHADEMA

Imeeleza kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
All the best nimtakia safari imemshinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atumie vizuri kiinua mgomgo chake cha Ubunge, maana ndio mwisho wake kwenye siasa za Tanzania.
 
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge

Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa CHADEMA

Imeeleza kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
Warombo hawana tabia ya kususa kama wanawake wa ki-swahili.
Huyu mzee hana subra na mijadala, amewahi kuondoka kwenye grupo sogezi maarufu sana hapa tanzania linaitwa TANZANIA 2015 & BEYOND, limejaa vichwa tupu na watu wenye weledi japo siku za karibuni wameingiza watoto wanaopleleka mizaha ila inasemekana kwenye hilo group aliondoka zaidi ya mara 3.

SElasini ugomvi wa kunymwa unyumba lazma apeleke kwa baba mkwe.
Selasini hawezi ficha siri,.
Selasini huyu wa leo siyo yule aliyelelewa na masumbuko lamwai na kusomeshwa akiishi kule salsala kipindi hicho ndio kashuka kutoka Rombo Usseri.
Aibu sana kwa mchaga kuitisha press kisa umeondolewa kundi la wasap, sasa angesimamishwa uanachama si ANGEENDA KUSHTAKI UN?
 
Mbunge wa Rombo kupitia chama cha CHADEMA , Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe.

View attachment 1433255
EWquq0ZWAAA94B2.jpg

Tunataka kujua admin kwa pgroup hilo ni nani????na kwanini wamtoe mwenzao bila kumwambia??? 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Huyu mzee aache unafki anadhan amesahau aliyoropokwa miezi miwili huko nyuma? Mbona kujistukiasana...anazeeka vby...apite hivi
 
Amerudi Nccr mageuzi alipolelewa na Masumbuko Lamwai ameona chadomo wanapigania tumbo sio Wananchi
Warombo hawana tabia ya kususa kama wanawake wa ki-swahili.
Huyu mzee hana subra na mijadala, amewahi kuondoka kwenye grupo sogezi maarufu sana hapa tanzania linaitwa TANZANIA 2015 & BEYOND, limejaa vichwa tupu na watu wenye weledi japo siku za karibuni wameingiza watoto wanaopleleka mizaha ila inasemekana kwenye hilo group aliondoka zaidi ya mara 3.

SElasini ugomvi wa kunymwa unyumba lazma apeleke kwa baba mkwe.
Selasini hawezi ficha siri,.
Selasini huyu wa leo siyo yule aliyelelewa na masumbuko lamwai na kusomeshwa akiishi kule salsala kipindi hicho ndio kashuka kutoka Rombo Usseri.
Aibu sana kwa mchaga kuitisha press kisa umeondolewa kundi la wasap, sasa angesimamishwa uanachama si ANGEENDA KUSHTAKI UN?
 
Issue kubwa sasa ni Corona na si mivyama yenu. Mungu ashukuriwe mno kwa kunifanya nisiwe na Siasa za aina yoyote zile. I am neutral individual and I am happy with it. Mimi ninapenda sana uadilifu wa kila jambo na ili kuishi vyema na mahusiano mema na Mungu basi shughuli za Siasa tupa huko. Tangu nimezaliwa sijawahi hata kushiriki mkutano wa Siasa. Kura yenyewe nilipiga 2015 ya ushabiki tu ili kutimiza maumivu tuliyokuwa tunapata kutoka kwa mafisadi na mijizi iliyokithiri. Nilikuwa nachangia sana nyuzi hizo mpaka kukasirika hadharani kuhusu mijizi ya wa rasilimali za nchi. Wengi waliniona kama Mimi ni Chama cha mpinzani kumbe sina hata kadi ya chama chochote cha Siasa. Labda kwa heshima ya Jembe Magufuli nipate tu ya CCM ya ukumbusho kwa awamu ya 5 maana anatekeleza kile ambacho kilikuwa kinaniumiza miaka tele toka Baba wa Taifa afariki. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni #Mh. Magufuli.
 
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge

Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa CHADEMA

Imeeleza kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
Mkakati wa kuunga mkono Juhudi umebadilika
Badala kwenda ccm wameambiwa waende nssr mageuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom