Tunataka kujua admin kwa pgroup hilo ni nani????na kwanini wamtoe mwenzao bila kumwambia??? 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆#Bongo5Updates: Mbunge wa Rombo kupitia @ChademaTz
, Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho @freemanmbowetz
. pic.twitter.com/JssNat1bSd
— bongo5.com (@bongofive) April 28, 2020
All the best nimtakia safari imemshindaMbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge
Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa CHADEMA
Imeeleza kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
Wee habari za chato?Chadema itabaki na mabingwa wa Matusi
Mbatia kapewa wabunge 20 na jiwe October 2020.Kanunuliwa na Mbatia???
Warombo hawana tabia ya kususa kama wanawake wa ki-swahili.Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge
Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa CHADEMA
Imeeleza kuwa katika ‘group’ hilo yumo pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe
Huyu mzee aache unafki anadhan amesahau aliyoropokwa miezi miwili huko nyuma? Mbona kujistukiasana...anazeeka vby...apite hiviMbunge wa Rombo kupitia chama cha CHADEMA , Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe.
View attachment 1433255
Tunataka kujua admin kwa pgroup hilo ni nani????na kwanini wamtoe mwenzao bila kumwambia??? 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Warombo hawana tabia ya kususa kama wanawake wa ki-swahili.
Huyu mzee hana subra na mijadala, amewahi kuondoka kwenye grupo sogezi maarufu sana hapa tanzania linaitwa TANZANIA 2015 & BEYOND, limejaa vichwa tupu na watu wenye weledi japo siku za karibuni wameingiza watoto wanaopleleka mizaha ila inasemekana kwenye hilo group aliondoka zaidi ya mara 3.
SElasini ugomvi wa kunymwa unyumba lazma apeleke kwa baba mkwe.
Selasini hawezi ficha siri,.
Selasini huyu wa leo siyo yule aliyelelewa na masumbuko lamwai na kusomeshwa akiishi kule salsala kipindi hicho ndio kashuka kutoka Rombo Usseri.
Aibu sana kwa mchaga kuitisha press kisa umeondolewa kundi la wasap, sasa angesimamishwa uanachama si ANGEENDA KUSHTAKI UN?
😆😆😆😆😆😆😆Kwi! Kwi! Kwi!
Acha udikteta wewe ,katiba inaruhusuWalitakiwa Risasi moja ya shingo wote wanao hamahama mavyama
Mkakati wa kuunga mkono Juhudi umebadilikaMbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge