Kama kweli atakuwa na akili zinazofanya kazi,ila mwenye taarifa za kuthibitisha hili atuwekee humu.Amefanya kitu kizuri, utu. Kuwasaidia ndugu, raia wako wote bila kujali itikadi, vyama vyao, uwezo wao. Haijawi kuwa kitu kibaya.
Kama ana nia ni ya dhati kuwasaidia wote, mpe nafasi.
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
View attachment 1691850View attachment 1691851
Kama kweli atakuwa na akili zinazofanya kazi,ila mwenye taarifa za kuthibitisha hili atuwekee humu.
Pamoja na hayo mbona kama hii ya pili ni kama photo shop?"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
View attachment 1691850View attachment 1691851
Tanzania yetu haiishi vituko,ukienda pale traffic dept. Kuna sheria ipo inayozungumzia ni rangi gani magari ya kubeba abiria yanatakiwa yawe na rangi gani pamoja na rangi ya vingora vyao,bluu na lights za bluu(polisi) etc etc sasa kwenye ile wilaya mkuu wa traffic hii so called ambulance ilitakiwa iandikiwe traffic fine na kubadilisha alama zake pamoja na rangi inayotakiwa kisheria.hapa ndio matunda ya 5 mingine.