Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Yaani CCM bila rushwa huwezi fika popote!! Na ni wote tu, hakuna asiyetoa rushwa!! Watu wa namna hiyo waje wawe na uchungu na mwanachi?!! Wewe subilia baada ya kura za maoni kupigwa, utawaona watakavyo ruka na kukanyagana!!!Bila rushwa hakuna ccm
Na upinzani ndio ulifanya hata vijana ambao hawakuwa na pesa kuingia bungeni!!enzi zile kabla Demokrasia haijanajisiwa!! Kitu ambacho kwa ccm ni ngumu, ccm kama hutoki familia ya wateule, na huna pesa kushinda ubunge ni ndotooo!!Wamuache atoe magari kina mnyika hata baiskeri hawawezi kugawa kwa miaka 20
Akili za kuku utazujua tu mnyika anaingiaje kwenye issue ya Same sijawahi kuona ukiandika cha maana humuWamuache atoe magari kina mnyika hata baiskeri hawawezi kugawa kwa miaka 20
Huyu anawajali wapiga kura wake kuliko yule aliyewanunulia baskelii kule Nzega au gari la kuzikia kule ugogoni!View attachment 1502131
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inayashikilia magari 10 ya wagonjwa ambayo yalikuwa yagawanywe kwa kata 10 za Jimbo la Same Magharibi na Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Mathayo David kama utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa mwaka 2015.
Magari hayo yalikuwa yagawanywe kwa kata hizo jana tarehe 08.07.2020 kupitia ofisi za CCM Wilaya ya Same lakini TAKUKURU ikaingilia kati na ikamuita Dkt. Mathayo na kumhoji kuhusu tukio hilo, kuelekea mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu
Huwezi kuona maana akili zako kama za mbowe kichwa kimejaa matope tuAkili za kuku utazujua tu mnyika anaingiaje kwenye issue ya Same sijawahi kuona ukiandika cha maana humu
Sisi wakazi wa kibamba hatuna shida ya baiskeli wala gari.Wamuache atoe magari kina mnyika hata baiskeri hawawezi kugawa kwa miaka 20
Magufuli kaamua tu kuwatarget wabaya wake ..... Rushwa ndiyo mbinu pekee ya kumalizana nao.Bila rushwa hakuna CCM
Rushwa huko kwenu, kwa Magari ya wagonjwa hapa kwetu ni msaada wa lazima kwa Jamii, hasa wakazi wa milimani kama Vudee, Mbaga, Mvaa, Kisiwani,Gonja na hata jImbo la Mwanga maeneo kama Jipe, Kifula, Kighale, Kileo, Kilomeni, Kirongwa, Kirya, Kwakao, Lang'ata, Lembeni, Msangeni, Mwaniko, Ngujini na Shingatini leteni hizo Ambulance tena haraka. kama na wengine wapo nani kawazuia walete tuu hata kugawa ng'ombe, mbuzi ada za wanafunzi wa secondari za A level.Bila rushwa hakuna CCM