Mbunge wa Segerea ampongeza Diamond kwa show ya Wasafi Festival

Mbunge wa Segerea ampongeza Diamond kwa show ya Wasafi Festival

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanadada mbunge wa Segerea anaitwa Bonnah K Ladslaus ametoe pongezi za dhati kupitia mtandao wake wa Instagram kwa Diamond kwa kumuita baba lao kwenye show kali aliyofanya Jana kwenye tamasha lake la Wasafi Festival ambalo liliteka Jana jiji la Dar-Es-Salaam.Lakini pia akatoa pongezi kwa namna Tamasha nzima lilivyofanyika.
 
Back
Top Bottom