Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kicheko na tabasamu utadhani mwema kumbe jambazi kuu muasisi wa tekateka ya watu wasiojulikana ndie alitaka kumuua Dr ulimboka Mungu akamnusuru.Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
DuhElimu ya kung'olewa watu kucha bila ganzi?
TISSccm wa nchi hii ni takataka kabisa mavi ya bataMbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
Ni Ramadhani Ighondo yuleee aliye mnanihii nanihiii?Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
Ila wewe Buji[emoji1787][emoji1787]Elimu ya kung'olewa watu kucha bila ganzi?
Yaani mhalifu wa uhai wa mwanadamu anapewa na ubunge tena, ndio zawadi ya udhalimu wake. Halafu Pascal Mayalla anaendelea kuamini kuwa karma inafanya kazi.nimeogopa. pole sana Dr.Uli
Mkuu Bujibuji , ukiona hivyo, ujue ni moja kati ya mambo matatu haya.Yaani mhalifu wa uhai wa mwanadamu anapewa na ubunge tena, ndio zawadi ya udhalimu wake. Halafu Pascal Mayalla anaendelea kuamini kuwa karma inafanya kazi.
Kama malipo ni hapahapa duniani, mbona wahalifu wengi hupewa mema zaidi na nature ukilinganisha na udhalimu wao?
Tulia na wewe umekua mpumbavu Sana mwananguMkuu Bujibuji , ukiona hivyo, ujue alisingiziwa tuu, karma haina mswalie Mtume!. Ila pia karma payback time is not determined unaweza kutenda uovu leo, ukalipwa after 50 years ile siku unashushwa 6ft under!. Ila pia sometimes....
Ndiye huyuNi Ramadhani Ighondo yuleee aliye mnanihii nanihiii?
Kweli unasema alisingiziwa? Alisingiziwa na nani? Kwanini alisingiziwa?Mkuu Bujibuji , ukiona hivyo, ujue alisingiziwa tuu, karma haina mswalie Mtume!. Ila pia karma payback time is not determined unaweza kutenda uovu leo, ukalipwa after 50 years ile siku unashushwa 6ft under!. Ila pia sometimes...
Ajabu Sana. mtekaji, mtesaji, muuaji.. kuwa mbunge, MWAKILISHI wa watu!!! Wizi wa kura noma🙄Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........