Mbunge wa Starehe, Jaguar afikishwa Mahakamani. Kulala tena Polisi baada ya kunyimwa dhamana

Mbunge wa Starehe, Jaguar afikishwa Mahakamani. Kulala tena Polisi baada ya kunyimwa dhamana

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge wa jimbo la Starehe, Charles Njagua maarufu Jaguar atalala tena rumande kwa leo katika Kituo cha Polisi cha Kileleshwa baada ya kukosa dhamana huku Hakimu akisema atatoa hukumu Ijumaa

Wakati Hakimu Sinkiyan Tobiko akisema hayo, Mwendesha mashtaka wa Serikali ameiomba Mahakama kuwa Jaguar ashikiliwe kwa siki 14 katika Kituo cha Polisi cha Kamukunji ili kuwezesha kumalizika kwa uchunguzi

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kituo cha habari cha Citizen Digital cha Kenya, makaratasi ya Mahamama yanasema hali ya kiintelijenisia inaonesha Jaguar alipanga kuunda kikundi cha Watu na kuvamia Wageni waishio Kenya

Mwendesha Mashtaka amesema kuwa Wapelelezi wamewaandikia Mamlaka ya Mawasiliano na wanafanya taratibu za kuviandikia vyombo vya habari ili kupata video inayomuonesha Jaguar na matamshi yake

Aidha, Wapelelezi wameeleza zaidi kuwa wanashikilia simu ya mkononi ya Mbunge huyo ila bado haijafanyiwa uchunguzi wowote
====

Starehe MP Charles Njagua aka Jaguar will spend another night at Kileleshwa police station pending his bail ruling.

Magistrate Sinkiyan Tobiko said she will give her ruling on the matter on Friday.

The Prosecution had sought court to have Jaguar detained for 14 days at Kamukunji Police Station to allow for completion of investigations.

Court papers seen by Citizen Digital said credible intelligence showed that Jaguar had been allegedly planning to mobilise gangs to invade private property and attack foreign nationals residing in the country.

In their submission, the Prosecution noted that investigators have already written to the Communication Authority (CA) and are in the process of writing to Media houses to provide clips of recordings of comments made by Jaguar.

Detectives further revealed that they have so far seized the MPs mobile phone which is yet to be forensically examined.

“The team of investigators are yet obtain Subscriber Details, Line History, IMEI History, text messages (SMS) and Call Data Records (CDR) in relation to the phone numbers that the Respondent has been using…,” Duncan Ondimu for the State said.

Njagua was arrested outside Parliament Buildings on Wednesday over his alleged inciteful remarks against foreign traders.

This follows remarks he made while visiting traders along Kirinyaga Road condemning foreigners from running businesses in Nairobi.

IMG_20190627_124538.jpeg
 
Rabsha rabsha za mahakamani na polisi ni kupisha upepo upite tu, hamna kesi hapo. Ndio siasa zilivyo....
 
Back
Top Bottom