Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mhe. Aesh Hillaly leo ameshiriki na kuwaongoza wananchi mbalimbali waliojitokeza kupata Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa.
"Leo Nimetimiza Wajibu kwa Kupata Chanjo"
View attachment 1879761