PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mhe. Aesh Hillary leo ameshiriki na kuwaongoza wananchi mbalimbali waliojitokeza kupata Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa.
"Leo Nimetimiza Wajibu kwa Kupata Chanjo"
"Leo Nimetimiza Wajibu kwa Kupata Chanjo"