Mbunge wa Sumbawanga mjini akata rufaa jijini Dsm,kisheria ikoje?

Mbunge wa Sumbawanga mjini akata rufaa jijini Dsm,kisheria ikoje?

Sobangeja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
401
Reaction score
354
Aeshy Hilaly Halphany amekata rufaa ya kupinga kuvuliwa ubunge wa Sumbawanga mjini (CCM) katika mahakama kuu jijini D'salaam badala ya Sumbawanga. Jana hukumu haikusomwa kutokana na mapungufu ya kisheria.wadau kukata rufaa nje ya jimbo lako la uchaguzi inaonyesha picha gani na je sheria inasemaje juu ya hilo? :A S 465:
 
WAliomchagua wako Dar maana ndo walimpitisha kwa nguvu zao na sio wanaSumbawanga!
 
kweli Mjinga ni chakula cha msomi wanampeleka peleka 2 wasomi wanajilia ma hela..!
 
ngoja kwanza ziliwe si simejaa mifukoni.......
mwisho wa siku hukumu inatolewa anaambiwa arudi mkoa alikofanya uchaguzi kesi ikafunguliwe huko......
 
Back
Top Bottom