Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Iron Lady (Tz) Margaret T
 

Esther Matiko,
Hakika wewe ni Mwanamke kinara.Wewe ni Iron Lady wa Tz!
Nyeusi ni nyeusi siyo nyeupe Wala koleo siyo kijiko kikubwa.....kudadek CCM!
 
Matiko tulimtoa pale UDSM kitengo cha Political Science and Sociology akiwa binti mdogo tena akiwa lecturer msaidizi. Tumemkuza kisiasa na kiimani.
Bila kusahau kumgegeda vya kutosha
 
Hawaendi kupokea mkuu. Wanaingiziwa kwenye akaunti zao. Wao wanaenda kujaza fomu kisha wanaondoka wanasubiria akaunti zicheke. Dah Raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Esther Matiko,
Hakika wewe ni Mwanamke kinara.Wewe ni Iron Lady wa Tz!
Nyeusi ni nyeusi siyo nyeupe Wala koleo siyo kijiko kikubwa.....kudadek CCM!
Unachekesha kweli kwa lipi alilofanya kuandika hilo gazeti?
 
Daa kumbe kuangalia hela kama zimeingia lazima mtu aende bank
Kiukweli kabisaaa
Nilikuwa silijui hilo


Sent from my iPhone using Tapatalk
sio wote wamejiunga na SIM Banking wewe unadhani unajiunga tu bila kufuatata taratibu ikiwepo kujaza fomu benki
 
Nimesoma kwenye mitandao mbali mbali kuwa Spika wa Bunge letu ameagiza kuwa wabunge wote waliolipwa posho zao na wabunge hao kutohudhuria bungeni warudishe fedha zote walizolipwa kama posho.
Binafsi najiuliza waliwezaje kufanya malipo hayo wakati watu hawapo kazini?Ninacho fahamu malipo yoyote hufanyika baada ya kazi husika kukamilika,na lazima kusaini nyaraka mbali mbali, sasa hawa walilipwaje bila kutimiza taratibu Hizi?
Kama aliyosema spika ni ya kweli,basi Busara ya kawaida aachie ngazi manake inaonekana huko bungeni kutakuwa na ufujaji Mkubwa wa fedha za Umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie huyo Esther wako kwamba, inapokuja kwenye suala la pesa, hakuna Mbunge anayepata huruma ya wananchi, kwa sababu hakuna mwananchi wa kawaida anayekubaliana na malipo yao. Huo ni wizi na hata akinyang'anywa zote, hakuna anayeona huruma.

Hakuna kazi ya maana wanayoifanya kuhalalisha malipo makubwa kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…