Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Utakuwa unanifanisha Mkuu
Ndiyo! Lile furushi ulilobeba kwenda nalo segerea ukijidai ni nguo za kubadilisha za Msigwa kumbe ni pesa za kumhonga Msigwa tuliliona na ndio maana tulikutimua!
Kwanini unapendaga kubeba mabegi ya pesa kwenye gari yako Kama wanunuzi wa ngo'mbe mnadani za Nini? Una biashara ya bucha?
 
sijui kura za ccm huwa zinatoka wapi,
bajeti yenyewe hawana hela za kuitekeleza,
yamekomaaa tu kukomba posho.
There is God.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga
Hivi ww jamaa hawakuoni wakakupa teuzi ?? mpaka wanarudia waliotumbuliwa

Sio kwa kujipendekeza huko
 
Sijaona alichojibu cha maana kwa kifupi ndugai na chadema wanahalalisha wizi wa kodi za wananchi
 
Hujaelewa soma upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa kuliko wewe unayeingiza ushabiki.
Hivi kama hakuna mkutano wa bunge au kamati za bunge. je wabunge wakiwa wanafanya kazi za majimboni kwao kama hiyo ya mfuko wa jimbo huwa wanalipwa posho?
Kutoona hilo ni zaidi ya kuwa kipofu
 
Umeona mbunge mwanamke wa Chadema alivyomwaga nondo za maana umekubali.Matiko mmoja ni sawa na wabunge 62 wa ccm.Kubali tu kuwa nchi hii bila upinzani itakufa kifo cha mende.Angalia mbunge Jangili atakavyotetewa na serikali dhalimu ya awamu ya tano.
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bi mdashi Yuko vizuri na majibu yake yameeleweka, kumbe bado Yuko kwenye kituo Chake Cha kazi kwa Sasa.
Swali; anawazungumziaje Zitto, Msigwa na Wabunge wote waliokiri kuwa kwa Sasa wako Dar ambako sio vituo vyao vya kazi kwa Sasa japo wamepokea perdiem ? Tuwaite wezi wa rejareja wa fedha za umma?
Uwaite jinsi utakavyomuita mchato!
 
Ndio maana mh spika alimzimisha mtu kwa rungu
nawaonea wivu sana, kumbe mnakula mamilioni hivyo???????..ndio maana mnapishana kwa waganga na kuuana na visa kibao, kumbe mnaata mamilioni hivyo alafu mnakimbia kujiajiri...mnawashauri wasio hata na mitaji kuwa wajiajiri..hatari.
Nikipata fursa nakuja kugombea ubunge jimbo lolote nchini hahaha
 
Umeona mbunge mwanamke wa Chadema alivyomwaga nondo za maana umekubali.Matiko mmoja ni sawa na wabunge 62 wa ccm.Kubali tu kuwa nchi hii bila upinzani itakufa kifo cha mende.Angalia mbunge Jangili atakavyotetewa na serikali dhalimu ya awamu ya tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Screenshot_20200507-193453.jpg
 
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga
Usipokufa kisiasa bado tu utakufa kiroho sasa umekwepa nini. Bogus.
 
Back
Top Bottom