Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Warudishe Kodi zetu wasitafute huruma ya wanainchi
 
Warudishe Kodi zetu wasitafute huruma ya wanainchi
Halafu eti anawasimulia wananchi wa Tarime! Wapiga kura!
Yaani anaamini watamuona ana hoja ya kujitetea na anajaribu kusema eti Bunge lilistahili kuwa na muda mrefu wa majadiliano. Huu ndo ubora duni wa wabunge wetu. Hawajui mwananchi anataka kusikia nini toka kwao.
 
sio wote wamejiunga na SIM Banking wewe unadhani unajiunga tu bila kufuatata taratibu ikiwepo kujaza fomu benki

Bado mko nyuma sana basi kama ni hivyo, wakati ni app tu ya ku download

Bank wanakujulisha kama unataka hiyo service na ndio njia rahisi na pia inapunguza msongamano bank
Kwani kujaza form nayo imekuwa kazi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hiyo per diem inakufa kama umetorka bungeni
Uhalali wa per diem unakuja tu pale utakapifanyia kazi iliokuleta
Huwezi kuchukua perdiem halafu ukalala nyumbani kwa kisingizio cha corona
Busara ni kuirudishatu hiyo pesa au ikatwe kwenye mafao yao ya kuvunja bunge
 
Na ikikatwa kwenye mafao kutakuwa na riba ya 40%
 
Mkuu mimi nimetoa ushauri kwa matiko, asiwaige kina bulaya na mdee
ungemshauri kwanza magufuli atwambie nani alimpa sumu mzee mangula
ungeshauri nyumba za umma zilizouzwa kwa vimada na mahawara zirudihwe
ungeshauri pia yule aliyenunua kile kivuko kibovu cha MV bagamoyo afikishwe mahakamani
ungeshauri kwanza yule aliyewaongezea watumishi makato ya mikopo ya Elimu ya juu ajitathmini
umshauri nani wewe
 
Huu ni uzushi wa ufipa,kikwete aliwaita mna kiwanda cha kupika uwongo
 
Mkubali tu kuwa strategy yenu haikuwa sawa. Tafuteni njia mbadala kurudisha credibility yenu. Hao wabunge wenu ambao wanaendelea na bunge wamewafuta machozi kidogo. Bila credible damage control meashures mbele ya wananchi mtakuwa mmejiharibia sana.
'ASKARI YEYOTE ALIYE MSITARI WA MBELE HAPASWI KUTOROKA MEDANI AKIFANYA HIVYO ANAITWA MSALITI.
 
Umeongea point mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…