Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Hata mnyika mlimkuza? Subirieni mtapata majibu
CCM hata mama Samia alikiri hamna hoja. Hali hii ipo pia Baraza la wawakilishi. Mnadangadanga na kuhongavili watu waunge mkono juhudi. Tusubiri majibu? Majibu ya wizi wa kura?
 
Huu ndiyo ufafanuzi murua wa kujibu HOJA unao hitajika kwa umma. Spika au wale wanaosimama na Spika inabidi waje sasa wapinge kwa HOJA kanuni na namba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanawalazimisha wabunge wenzao wa CHADEMA nao wasusie vikao? SIi kila mbunge alipaswa ajitathmini mwenyewe.

Kama kaingiziwa pesa bila kujua si arudishe, Spika amewataka warudishe hiyo posho . Suala la kuwa karantini Dodoma halina uhusiano na posho. Hizo shughuli za jimbo anazodai kuendelea nazo ni kazi yake na analipwa mshahara.
 
Matiko wewe ni mtu wa status tofauti sana elewa kwamba mnadhalilishwa na huyo Mwenyekiti wenu

Hivi hata Sumaye hukumwelewa ? Unabeba Maji kwenye gunia utaloa mgongo na maji hutayafikisha kokote
 
Hili sakata LA posho Na malipo ya wabunge tungekuwa tupo makin tungegundua Vingi sana.hili bunge Lina uvundo mkubwa sana Wa ufisadi.yaani inaonekana tabia ya kusaini tu maposho Na kuondoka imekomaa.Hivi wako wapi kina muhongo Na yule mkono? huenda wanakwenda tu kupokea maposho Na kusepa.
 
Matiko wewe ni mtu wa status tofauti sana elewa kwamba mnadhalilishwa na huyo Mwenyekiti wenu

Hivi hata Sumaye hukumwelewa ? Unabeba Maji kwenye gunia utaloa mgongo na maji hutayafikisha kokote
Wanadhalilishwa vipi mkuu
 
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga
Wewe kula kulala , hujui chochote acha watu wazima na wenye akili timamu wachangie.
 
Matiko hukwenda Dodoma kwenye karantini ungeweza kaa karantini kwenu Mara .Dodoma umeenda kwenye vikao vya binge sio vya wodi ya karantini

Rudisha perdiem na posho zote siku zote ambazo.hukukukanyaga vikao vya bunge
 
Safari hii genge la wahuni lazima linyooke tu Spika shikilia hapo hapo kazi ya Ubunge ni ya heshima ndiyo maana wanaitwa Waheshimiwa ......Hiki cheo wanakikosea heshima mno tumechoka na ujinga huu
 
Katika tz hii ya vijana wajinga waliokunywa bendera za vyama vyao usitegemee lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matiko jana tulikuwa wote CHAKO NI CHAKO, unatudanganya uka karantini

Wenyewe tu wameshindwa kufuata maagizo ya chama ya kujifungia dodoma, sasa hapo mwenyekiti sijui hawaoni wakikaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…