Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amjibu Spika Ndugai kuhusu kurudisha Posho

Utakuwa unanifanisha Mkuu
 
sijui kura za ccm huwa zinatoka wapi,
bajeti yenyewe hawana hela za kuitekeleza,
yamekomaaa tu kukomba posho.
There is God.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga
Hivi ww jamaa hawakuoni wakakupa teuzi ?? mpaka wanarudia waliotumbuliwa

Sio kwa kujipendekeza huko
 
Sijaona alichojibu cha maana kwa kifupi ndugai na chadema wanahalalisha wizi wa kodi za wananchi
 
Hujaelewa soma upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa kuliko wewe unayeingiza ushabiki.
Hivi kama hakuna mkutano wa bunge au kamati za bunge. je wabunge wakiwa wanafanya kazi za majimboni kwao kama hiyo ya mfuko wa jimbo huwa wanalipwa posho?
Kutoona hilo ni zaidi ya kuwa kipofu
 
Umeona mbunge mwanamke wa Chadema alivyomwaga nondo za maana umekubali.Matiko mmoja ni sawa na wabunge 62 wa ccm.Kubali tu kuwa nchi hii bila upinzani itakufa kifo cha mende.Angalia mbunge Jangili atakavyotetewa na serikali dhalimu ya awamu ya tano.
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwaite jinsi utakavyomuita mchato!
 
Ndio maana mh spika alimzimisha mtu kwa rungu
 
Matiko acha kuwaiga kina Mdee na Bulaya watakupoteza

Wewe unaustaarabu jistukie utakufa kisiasa ukiendelea kuwaiga
Usipokufa kisiasa bado tu utakufa kiroho sasa umekwepa nini. Bogus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…