Wakuu,
Leo nilikuwa naangalia wasifu wa Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave na itoshe kusema kuwa Lissu alikuwa sahihi kabisa kuhusu hawa wabunge wa viti maalum.
Huyu Dorothy Kilave yeye alikuwa ni diwani wa viti maalum kupitia CCM mwaka 2011 hadi mwaka 2015. From there akashika nafasi tofauti tofauti ikiwemo kuwa Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar Es Salaam, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 2017.
Soma pia: CCM kutangaza utaratibu mpya ubunge viti maalum. Hoja za Lissu zimeanza kuwaingia?
Miaka 3 baadae akagombea Ubunge na kushinda kwa kura 192756 according to NEC
Nataka kusema nini?
Kama Kilave alikuwa ni diwani wa viti maalum tena alihudumu kwa muhula 1 tu, inashindikana nini kwa hawa wabunge wa viti maalum na wenyewe kukaa muhula 1 tu bungeni kisha kwenda kugombea huko majimboni kama wabunge wa kawaida?
Lissu alikuwa sahihi kabisa. Viti maalum lazima viwe na ukomo. Ukishahudumu mhula mmoja tayari unakuwa exprienced enough kugombea kama mbunge wa kawaida.