Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado alivyopokelewa Tunduru

Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado alivyopokelewa Tunduru

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado amepokelewa kwa kishindo na shangwe kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika viwanja vya Baraza la Idd Tunduru Mjini, tarehe 23 Agosti 2026 kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Mkutano wa Bunge la Bajeti na kukusanya maoni kuelekea Mkutano wa Bunge ujao unaotarajiwa kuanza tarehe 26 Agosti 2026.
 
Ana maono...ila ndiyo basi tena....ni tone la Maji Baharini haliwezi kuongeza kina...
Kwa Mtazamo wangu ni Mbunge aliye kwenye hesabu za kutekwa na kumpotezwa na CCM kwa anavyo wachokonoa chokonoa Bungeni..japo mara Moja Moja.
 
Kuna MBUNGE kawai kutekwa??‼️
 
Tofauti na Chadema ❗️
ACT wananchi hawatozwi
tone tone!!!❗️
Mikusanyiko yao sio mitaji ya wengine ✍️
 
Back
Top Bottom