Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Amenishangaza sana, nikajua atajisifia miswada aliyochangia au misaada aliyowapa wananchi, ila anajisifia utajiri? Jinga kabisa huyu mama, na ndio tatizo la rushwa linatupa viongozi wa hovyo kabisa."Mungu anakupa kitu ukiwa unafanya" huyu ni Mungu wa namna gani anayesupport rushwa kwa wajumbe?
"Nyumbani kwetu mimi ndiyo tajiri" kumbe wanagombea ubunge ili kwenda kutajirika
Na huyu ni mmoja katika mamia waliojaa bungeni, kwa mentality hiyo hatufiki twendakoJinga kabisa huyu mama, na ndio tatizo la rushwa linatupa viongozi wa hovyo kabisa.
Kapigiwa simu na Kigogo mkubwa.....akamwambia usimwambie mtuFelista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi
Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] koromeo Hana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halikabiHaya mambo Yana Muda bhasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli huwa haujifichi huwa unawasha kusemwa
Labda anakaribia kuitikia wito wa muumbaKimemkuta nini tena kiasi analosoka mwenyewe.. 😂🤣
CHADEMA siyo watu? We bwege kweli. Gombea wewe uoneAisee kwani chadema kuna haya jamani? Huyu atakuwa muongo tuu anawasingizia chadema!
Mnyika ni kigogo?Ni
Ni Mnyika
Rushwa sio jitihada.na huo ndio ukweli.. uzuri hadanganyi kawaambia ukweli mafanikio yanahitaji jitihada
Nitakipata wapi kitabu cha Sugu.?Soma kitabu cha Sugu ili ujue CHADEMA nao hawako nyuma kwenye hii michezo michafu ya wajumbe.
Hawa waliitwa na Ndugai wakaapishwe, Chadema haikuwa na mamlaka hiyo ya kuwaapisha na kuwatoa gerezani.Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi
Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri
Ila CCM je?Chadema bila rushwa ya pesa na ngono hupati ubunge