Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

Naamini bado watanzania wapo kwenye evolution sio binadamu kamili, binadamu hawezi kuongea huu upumbavu linaongelea maswala ya rushwa kumotivate watu, bado kuna makenge hapo yanapiga makofi. Eti kwetu mimi ndiyo tajiri pumbafu.
 
"Mungu anakupa kitu ukiwa unafanya" huyu ni Mungu wa namna gani anayesupport rushwa kwa wajumbe?
"Nyumbani kwetu mimi ndiyo tajiri" kumbe wanagombea ubunge ili kwenda kutajirika
Amenishangaza sana, nikajua atajisifia miswada aliyochangia au misaada aliyowapa wananchi, ila anajisifia utajiri? Jinga kabisa huyu mama, na ndio tatizo la rushwa linatupa viongozi wa hovyo kabisa.
 
Sijaamini!
Hiki ndicho Chama Kikuu cha Upinzani kinachopigania kushika Dola!
 
Kumbe 2020!

No wonder hicho kipindi hata mbwa angeshinda!
 
Natamani na mimi huyo kigogo anipigie simu niende Dodoma
 
Nikisema hivi vyama ni saccos muwe mnanielewa.
 
Haya mambo Yana Muda bhasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli huwa haujifichi huwa unawasha kusemwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] koromeo Hana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halikabi
 
Hawa vigezo vinavyowabeba ni vipi?
Kiukweli hata kama wanapigiwa simu na vigogo mimi siwalaumu.
 
na huo ndio ukweli.. uzuri hadanganyi kawaambia ukweli mafanikio yanahitaji jitihada
 
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi

Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri

Hawa waliitwa na Ndugai wakaapishwe, Chadema haikuwa na mamlaka hiyo ya kuwaapisha na kuwatoa gerezani.
 
Hivi Tanzania mbona kuna wanasiasa ( Wabunge ) wajinga wajinga kama hawa?!

Huyu hajui hata impact ya anachozungumza😂!
Tatizo la viongozi wa vyama hasa wanaume wakiona mwanamke mweupe au mwenye sura nzuri tu basi wanamuahidi Ubunge wa Viti maalumu na kuanza " kumchapa nao"!

Ona huyu anasema alianza kugombea hana maziwa(matiti) , leo amepata Ubunge Viti maalumu matiti yamekuwa ndala!😂😂!

Kwahiyo yeye indicator ya ku-hustle kwake ni matiti yake!
Anakiri wazi kutumia Rushwa kutafuta Ubunge hadi akafanikiwa, Mbunge hajui hata sheria inayokataza matumizi ya Rushwa katika chaguzi!
Huyu si Mbunge ,inawezekana ni baamedi ( Bar maid)!

Kwa Wabunge wajinga wajinga kama hawa Taifa litapiga hatua kweli?!
 
Back
Top Bottom