Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

Asihukumiwe kwa kusema ukweli bari aliyoyatamka ikawe changamoto kwa watoa nafasi za uongozi baada ya kuhongwa, sasa hivi haya si katika siasa tu juzi tumesikia waziri akikemea tabia ya watumishi kupata uhamisho kwa kutoa rushwa na pia kuteuliwa nafasi au kupandishwa vyeo makazini baada ya kuhonga!

Hata ukiangalia utendaji kazini hasa serikali na mashirika yake uwajibikaji hakuna kwa sababu watu wananunua kazi na vyeo ili wanufaike sio kuhudumia jamii.

Rais ana kazi kubwa ya kufanya hasa kwakuwa hana jicho la 3 kwa sababu hao jicho lake la 2 nao wamepatikana kwa rushwa vilevile hivyo hawadhuriani.
 
Watanzania hasa wanaopiga kelele kwenye club house, space, vyama vya siasa na wanahatakati huru wanaojiita '" eti ni makamanda wanatukomboa"' ni wachumia tumbo watafuta chochote hakuna Cha kututetea Wala ukombozi. Mfano mdogo hili tukio la Gekul ,alikuwa na yeye anajiita kamanda mkomboaji, akapata fursa serikalini ona kilichotokea. Pata uongozi au fedha tujie tabia yako. Wote wasaka tonge kupitia mgongo wa wananchi
Ni kwa sababu nchi ina wajinga kama wewe ndiyo maana wanafanya hivyo. Trust me. Nchi yoyote ikiwa na wananchi wengi wajinga wajinga ni lazima wanasiasa watafanya watakavyo.
 
Chadema hakuna haya mambo kabisa kule mambo ni safi kabisa labda CCM huyo anawasingizia chadema labda ana maanisha CCM
Bosi tena bora CCM, yaani watanzania kwa ufupi ni wezi yaani kila mtanzania ni mwizi hata mimi ni mwizi hata wewe ni jizi. Hebu fikiria ikitokea mtandao wa simu wamekutumia muda wa maongezi wa shs 5000 na ukajua kabisa ni bahati mbaya je unaweza kuwapigia simu kurudisha muamala? Au konda akisahau kukudai nauli yale mabasi ya kisemvule utakimbilia gari ili utoe nauli? Kwa ufupi wewe na mimi ni kazazi cha wezi kinachotutofautisha na Jambazi mbowe ni nafasi tu.
 
Asihukumiwe kwa kusema ukweli bari aliyoyatamka ikawe changamoto kwa watoa nafasi za uongozi baada ya kuhongwa, sasa hivi haya si katika siasa tu juzi tumesikia waziri akikemea tabia ya watumishi kupata uhamisho kwa kutoa rushwa na pia kuteuliwa nafasi au kupandishwa vyeo makazini baada ya kuhonga!
Hata ukiangalia utendaji kazini hasa serikali na mashirika yake uwajibikaji hakuna kwa sababu watu wananunua kazi na vyeo ili wanufaike sio kuhudumia jamii.

Rais ana kazi kubwa ya kufanya hasa kwakuwa hana jicho la 3 kwa sababu hao jicho lake la 2 nao wamepatikana kwa rushwa vilevile hivyo hawadhuriani.
Kwa hiyo wewe unadhani wananchi kazi yao ni kukaa tu mambo yanajiendea yenyewe. Ona watanzania. Wewe unaona eti ''rais ana kazi kubwa'' badala ya kusema wananchi tuna kazi kubwa. Jukumu la kuendesha nchi yoyote liko mikononi mwa wananchi wake na siyo rais wa nchi. Rais ni mtekelezaji tu wa wanayotaka wananchi. Hili jambo la watanzania kuona viongozi wako kama magic bullet ya kutufanyia kila kitu ndiyo inafanya nchi iwe ilivyo. Kauli kama ''upinzani wana kazi kubwa sana'' au ''rais ana kazi kubwa sana ndiyo nyimbo zetu. Kwetu sisi rais mwenye maisha mazuri sana yeye na familia yake ndiye ''kazi kubwa'' na siyo sisi kina kamchape. Du.
 
Kuna hitaji kubwa la kikatiba kuongeza sifa na vigezo vya mtu kuwa Mbunge. Alichoongea Felista ni uharo mtupu na kadhihirisha alivyo mtupu kichwani. CHADEMA nao wajisahihishe. Rushwa ndani ya chama chao imekithiri hasa nyakati za uchaguzi. Au watataka kusema CCM ndo imesababisha wao kuwa na wajumbe wapenda rushwa kwenye chaguzi zao za ndani?
Sasa huyu kazungumza mambo ya ''maana'' sana kulinganisha na wengine wengi. Sasa hivi viongozi wenye upeo kuliko huyu mama wanahesabika. Na ukisema tuna tatizo tunatakiwa tubadishe mfumo wetu unaambia ''katiba haileti chakula''
 
Naamini bado watanzania wapo kwenye evolution sio binadamu kamili, binadamu hawezi kuongea huu upumbavu linaongelea maswala ya rushwa kumotivate watu, bado kuna makenge hapo yanapiga makofi,
Eti kwetu mimi ndiyo tajiri pumbafu.
Ndiyo watunga sheria wetu

Mule mjng asilimia kubwa wamejaa vilaza watupu

Ova
 
Hivi Tanzania mbona kuna wanasiasa ( Wabunge ) wajinga wajinga kama hawa?!

Huyu hajui hata impact ya anachozungumza[emoji23]!
Tatizo la viongozi wa vyama hasa wanaume wakiona mwanamke mweupe au mwenye sura nzuri tu basi wanamuahidi Ubunge wa Viti maalumu na kuanza " kumchapa nao"!

Ona huyu anasema alianza kugombea hana maziwa(matiti) , leo amepata Ubunge Viti maalumu matiti yamekuwa ndala![emoji23][emoji23]!

Kwahiyo yeye indicator ya ku-hustle kwake ni matiti yake!
Anakiri wazi kutumia Rushwa kutafuta Ubunge hadi akafanikiwa, Mbunge hajui hata sheria inayokataza matumizi ya Rushwa katika chaguzi!
Huyu si Mbunge ,inawezekana ni baamedi ( Bar maid)!

Kwa Wabunge wajinga wajinga kama hawa Taifa litapiga hatua kweli?!
Huyu ni taka taka kabisa

Ova
 
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi

Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri

View attachment 2828702
Angalia nchi hii ilivyo, laana haituachi, bila aibu anaongea uchafu alofanya, na wapuuzi wanamfurahia.
 
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi

Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri

View attachment 2828702
Huyo ni mbunge wa jpm,ndugai na sasa mama abdul ni ccm B hao
 
Back
Top Bottom