Mbunge wa Viti Maalum Tanga, Husna Sekiboko: Serikali ishughulike na wanaojiteka

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.

Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
 
Wanetu wa tanga, huyu akija huko mkumbusheni kuwa marehemu Mzee Ally Kibao alijiteka, akajitumbua macho,akajimwagia tindikali, akajipiga hadi kujiua.
Mungu anaruhusuje viumbe wa aina hii kuwepo duniani?
 
Mnahalalisha ukimya wa dola juu ya hatima ya watu walio potea.

Ujinga huu.
 
Samia katuharibia sana bunge.viti maalumu kaweka michepuko ya ndugu zake ambao hawama uwezo wa kuwatetea wananchi
 
Viti maalumu vya kazi gani nchi maskini kama Tanzania?
 
Ujinga kama huu si wa kuleta kwa critical thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…