T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Feb 6, 2025 #1 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Your browser is not able to display this video. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Your browser is not able to display this video. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
fasiliteta JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 2,372 Reaction score 4,090 Feb 6, 2025 #2 Bumbuli dongo lako hilo
T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Feb 6, 2025 Thread starter #3 fasiliteta said: Bumbuli dongo lako hilo Click to expand... Kuna tetesi za kuwa anahama?
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 6, 2025 #4 the guardian 17 said: Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" View attachment 3226757 Click to expand... Sasa anahama chairperson na kusepana kijiji,hapo viipi?
the guardian 17 said: Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" View attachment 3226757 Click to expand... Sasa anahama chairperson na kusepana kijiji,hapo viipi?
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 Feb 6, 2025 #5 Athali zipo tena kubwa - tunabaki wamoja
T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Feb 6, 2025 Thread starter #6 Vessel said: Sasa anahama chairperson na kusepana kijiji,hapo viipi? Click to expand... Anakwambia hakuna wa kuteteresha chama haha
Vessel said: Sasa anahama chairperson na kusepana kijiji,hapo viipi? Click to expand... Anakwambia hakuna wa kuteteresha chama haha
F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,572 Reaction score 3,726 Feb 6, 2025 #7 Vessel said: Sasa anahama chairperson na kusepana kijiji,hapo viipi? Click to expand... Yupi huyo, huyu wa sasa
Vessel said: Sasa anahama chairperson na kusepana kijiji,hapo viipi? Click to expand... Yupi huyo, huyu wa sasa
Ambivert88 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 3,609 Reaction score 6,388 Feb 6, 2025 #8 Haya ndugu wajumbe hapa hatoki mtu mkitaka mtuchape tukiwa hapahapa ila hapa hatoki mtu