Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya

Moja kwa moja kwenye hoja

Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week mbili mradi uwe umekwisha na atarudi tena kufanya ugaguzi wa kaz hyo huku akiongeaa kwa sauti kali

Dad anaongeq as if kwamba yeye ni waziri kamili ,naibu waziri ,ama Mbunge wa kuchaguliwq na wananchi .wkt zote tunajuwa kuwa ni mbunge batili aliyepewa ubunge na tume ya taifa ya uchaguz chini ya jaji wa mahakama ya rufani ndgu Mh Jaji Jacob Mwambegele .

Nataka nielezwe majukumu ya mbunge wa viti maalumu ni yapi ktk Jimbo maanak anako elekea huyu dad atakuja kupigwa makofi kwa jinsi anavyo wafokeaa watendaji

Kwanza ni huyu huyu makamu mwenyeki wa chadema heche John alimnasa makofi ktk siara zake huku nyada za juu kusini

Ni huyu huyu alipewwa matibabu ya uongo na karibu wa itikadi na uenez bwana A .makala

Swali jingine ilikuwaje huyu Sigrada ameteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu kwa kigezo kipi

HIli taifa kwa nyakati hz linachezewa sana ni ngumu kuwatete ccm kwa kweli safari hii

Naam nimerejeq rasm kwenye jukwaa nilikuwa nnje ya nchi na sas nimerudi kwa kishindo kikali mno
 
Uchawa, kuongeza kura za CCM na kula pesa ya umma. Wengi wana mahusiano na wakubwa wa chama. Kimsingi, hawa ni mzigo na uchafu tu wa kawaida wanaotumika kutuongezea umaskini wa kutegenezwa na CCM.
 
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya

Moja kwa moja kwenye hoja

Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week mbili mradi uwe umekwisha na atarudi tena kufanya ugaguzi wa kaz hyo huku akiongeaa kwa sauti kali

Dad anaongeq as if kwamba yeye ni waziri kamili ,naibu waziri ,ama Mbunge wa kuchaguliwq na wananchi .wkt zote tunajuwa kuwa ni mbunge batili aliyepewa ubunge na tume ya taifa ya uchaguz chini ya jaji wa mahakama ya rufani ndgu Mh Jaji Jacob Mwambegele .

Nataka nielezwe majukumu ya mbunge wa viti maalumu ni yapi ktk Jimbo maanak anako elekea huyu dad atakuja kupigwa makofi kwa jinsi anavyo wafokeaa watendaji

Kwanza ni huyu huyu makamu mwenyeki wa chadema heche John alimnasa makofi ktk siara zake huku nyada za juu kusini

Ni huyu huyu alipewwa matibabu ya uongo na karibu wa itikadi na uenez bwana A .makala

Swali jingine ilikuwaje huyu Sigrada ameteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu kwa kigezo kipi

HIli taifa kwa nyakati hz linachezewa sana ni ngumu kuwatete ccm kwa kweli safari hii

Naam nimerejeq rasm kwenye jukwaa nilikuwa nnje ya nchi na sas nimerudi kwa kishindo kikali mno
kweli hili suala ni muhimu sana hawa viongizi inabidi wajue mipaka yao, niliona pia kuna mbunge mmoja anamfokea mganga wa kituo cha afya fulani kwenye jambo ambalo kiuhalisia hajui taratibu za hospitali na hana health industry expertise kuhusu lile jambo , na tena akatoa na maelekezo😂😂😂, sasa sijajua kama mbunge na yeye ana hayo mamlaka ya kuamrisha watu
 
jimbo gani?
wale wabunge 10 wa kuteuliwa na raisi waliwekwa kimtego, kwamba ikitokea 50-50 kati ya ccm na upinzani bungeni basi ccm kiwe na wabunge wake 10 wa ziada. huu ni ufujaji mkubwa kabisa wa rasilimali za taifa
ATI KAZI NA UTU.... UTU UPI WA KUUA RAIYA WASIO NA HATIA?
Unaua RAIA, UNAUNDA TUME YA KUCHUNGUZA KITU GANI WAKATI WAUAJI UNAWAJUA?
 
Mh sisi tulishazoea kufokewa na mwenyekiti wa kjiji ,ni jana nimetoka zangu nduki nyumbani niwahi kilabuni na kacorola kangu maana sijaenda siku nyingi kuwapa habari wazee wa kijiji kinachoendelea huko IRAN na USA juu ya VENEZUELA ,Saa ngapi nisipigwe mkono nisimame kucheki ni diwani wa viti maalum ,mmama yule ananiuliza ninavyokimbiza gari ikiwa nitamgonga mwanakijiji nitawajibu nini ?
Ananiuliza hayo mbele ya watu ili apate sifa sijui ,kikubwa sikulewa nikamtizama tu na kuwasha machine yangu na safari ikaendelea kama mwanzo mpaka kilabuni ila nikaona kuna haja ya mimi kutafuta pesa maana mpaka napigwa biti na diwani wa viti maalum ni ukweli kuwa kanidharau sana
 
Wabunge wa viti maalum, wabunge 10 wa kuteuliwa, na wabunge wote kutoka Zanzibar! Ni wahujumu uchumi. Kiufupi hawana faida wala umuhimu wowote ule.
 
Pole snaan
 
Babu kumbe bado uko hai had 2026 nafurahi kukuona mkuu wangu wengi nimewasahu sna ila wee ni mtu humble sana humu sijawahi ona unakwqruzana na mtu humu
 
Nimegoma kufa, nimegoma kuzeeka! Kwa hiyo bado nipo nipo sana Dr[/I]
 
Back
Top Bottom