Pre GE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA ajitambulisha kama MwanaCCM akichangia hoja Bungeni

Pre GE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA ajitambulisha kama MwanaCCM akichangia hoja Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kukosea kupo kwa binadamu yoyote ndio maana sisi Wengine hatukutilia maanani Mbowe aliposema " Wanaccm wenzangu" pale Viwanja Vya Furahisha Mwanza

Naona huyu Mbunge aliyefukuzwa Chadema mh Hawa Mwaifunga anazodolewa pande zote CCM na Chadema

Jamani tuweni Wastaarabu

Baadae mlale Unono 😄🔥
 
CDM chuo cha kupika wanasiasa na kuwa export CCM au sivyo jamani?
 
Back
Top Bottom