Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

Mbunge/kiongozi/diwani/mwanachama, akiwa chadema Ni kamanda ni mtu Safi anatabia nzuri ni kosa kumkosoa.ila akijivua ukamanda uchwara Hana thamani yeyote akishukuru chadema kimembeba na tarariiira nyingi makubwa haya madogo Yana afadhali [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
mrangi
 
Hivi huko chadema na upinzan kwa ujumla VETTING ya kupata viongoz ipoje ? Next time tafuten wafia chama msimchague MTU kwa tako lake uzur wa sura au weupe wake chaguen wafia chama maana ukiangalia wabunge wa viti maalum wengi wa chadema wana fanana kwa sifa ama TAKO WEUPE AU SURA NZURI


Kuna kitu kimejificha wale wafia chama hata hawachaguliwi akina HILDA NEWTON mbowe hawaoni ??
 
Machozi hayakukutoka Wabunge wa Ccm kuzuia kwenda kumuona Mbunge mwenzao hospital Nairobi,unamlilia huyo dada?
 

Una uhakika gani kama ni ya kweli haya?
 
Huu ni muendelezo wa "uninafsi na umimi". Kama ni mtu serious na sio msaka tonge angeondoka kitambo baada tu ya kuanza kununiwa. Siasa sasa ni ajira
 
Chadema majanga kila anayehama kanunuliwa, mna akili gani hizo? Wakienda CCM, wamenunuliwa, wakienda nccr mageuzi eti CCM imewanunulia, kwani huko CDM wote ni bidhaa hakuna wanaofikiria kwa akili zao wakahama bila kanunuliwa? Au huko CDM hakuna Hali ya kikatiba ya mtu kuhama ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha Mbowe atabaki na wenzi wenzie tu akina Lema,Halima na shoga wake Bulaya,Msigwa na Sugu
 
Mbowe nakushauri chukua hatua ya kuachia ngazi haraka kukinusuru chama, kuliko chama kikuifie mikononi mwako ni fedheha kubwa zaidi, sio aibu Kwa ww kujiuzulu.... Ni wazi kabisa viongozi wenzako hawakubaliani Na uongozi wako ila wanashindwa kukuambia ukweli...... Jitafakari Kwa maslahi mapana ya chadema
 
Huu ni muda wa kutafuta nafasi ya kurudi bungeni kwa kura au vt maalum
 
"kwani baada ya kufunga ndoa na mtu anayetoka katika Chama Cha Wananchi CUF nilinuniwa pamoja na kutegwa"
😂😂😂
 

Mwezi mmoja tu uliopita alisimama Bungeni kumshukuru KUB (tena kwa jina lake kamili) kwa kumpa unaibu Waziri Kivuli . Huyo huyo anayemtuhumu kwa umimi, udini na kupendelea ma super star!
Kuhama chama ni haki yake wala hakuwa na sababu ya kuwapaka matope aliowaacha kwenye chama chake cha awali.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…