TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

Wananchi wa Jimbo lake nao walichaguaje mtu ambaye anapoteza kumbukumbu.

Na nani aliwatetea Bungeni tokea huo Mwaka 2018.

Bure Kabisa.
Wewe huna akili kichwa, Nimrod Mkono hakuwa mtu wa kupayuka bungeni, na kama michango yake asilimia kubwa alichangia Kwa maandishi isitoshe alikuwa na tatizo la sauti hakuwa mpayukaji yeye ni vitendo tu.

Haingetokea hata siku moja mkono asimame bungeni kuongea hoja za kipumbavu eti atake asitake lazima tumuongezee muda, au kama huyu goigoi wa Kibamba aliyesimama bungeni leo kusema sura ya mama Samia iwekwe kwenye sarafu, hao ndio wabunge unapaswa kushangaa wamefikaje bungeni?

Ubunge wa Nimrod Mkono ulikuwa ni wa matokeo chanya jimboni na siyo kupayuka bungeni, na ndio sababu alikuwa na uthubutu wa kusaini petition ya Zitto Kabwe ya kumuondowa waziri mkuu Pinda kwenye Upm, huo ulikuwa ni uamuzi ambao hauwezi kufanywa na mbunge njaa njaa wa Ccm.
 
Zwaza wewe,Pimbi mkubwa.
 
Kama yote yaliyoandikwa hapa ni kweli,inasikitisha sana,tena sana na kutia simanzi.Pesa atafute mtu mwingine,zije ziwe mwiba kwake trna,daaah!
 
Unajidai kumtag popoma GENTAMYCIME wakati tunajua hii ID ni ya huyo huyo popoma,pole sana kwa msiba mkuu
 
"Kuna kipindi nilisikiaga tetesi"
 
Na ndie nahisi ni mtu wa kwanza Tanzania kuajiri wazungu katika kampuni yake ya uwakili,jamaa alikuwa kuanzia peni hadi penseli zina logo ya kampuni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…